Created On: 03/10/2008 07:55:55 Duh! siku hizi naona full speed 180 umeniachia vumbi tu nyuma usijali siku nyingine nisubiri wanguz .. . vp lkn mambozz mzuka?? mi nipo fulla .. ..
Created On: 13/09/2008 11:23:02 mjasiriamali niaje naona ulipita kushow some lavu nyumbani sema nilikuwa nimelala swaumu ilikuwa kali,ila pamoko kaka siku njema iwe kwako!