GAUCHO
 |
Created On: 22/10/2008 14:15:31
swahiba salama,na ni leo nilikuwa nimeachiwa ujumbe niufikishe kwako kwahiyo ujio huu sio wa verse moja bali ni wa salamu pia toka kwa JYYONDER kasema yupo kwenye kampeni ya kugombea urais 2010 na kaahidi kukupa ugavana,haya usije ukawa fisiadi tu mana tunataka tukupe dhamana hahaha,pamoja asanti sana kwa kupita na kushow some love kwangu,siku njema mjasiriamali angu.
|
MaryAnn
 |
Created On: 19/10/2008 11:56:33
hi sweety ? mzima ? missin you 
|
debra
 |
Created On: 18/10/2008 11:23:05
Sasa ndugu yangu mbona kimya hivo??
hata kupita uswazi kwangu hutaki mweh??
Sawa mie uzunguni kwano naja wewe walaaaa mwe sio vizuri papiii
Ebaaa ehh nimekukosa sana.moko lavu
|
Elmi
 |
Created On: 15/10/2008 18:01:10
shukran nlikua na haraka sikuweza kugonga mlango natumai hujambo kamanda
|
meka
 |
Created On: 10/10/2008 08:39:19
hiiiii,
mzima ww, nimepita kukucheki maana longtime sijakuona b5 duh tunakumiss sana jamani.
wasalimie wote na kule kwetu.
|
reemat1234
 |
Created On: 09/10/2008 06:01:27
he kumbe uko kuala lumpur,,mitaa gani 
|
| sexycecy |
Created On: 09/10/2008 05:15:35
Thank's. you look great man sitting in that old chair remind me of my home town.
|
Lilyswai
 |
Created On: 07/10/2008 18:38:21
Hata mie nipo best ni wewe tu sikuhizi umeamua kuwa busy
|
sweet voice
 |
Created On: 07/10/2008 15:06:03
pole sana.mimi nakuna ki2 ninachokunyima .
|
| sexycecy |
Created On: 07/10/2008 07:59:09
eebwana imetulia kinoma,np maeneo ya pusat damansar sijui wewe maeneo gani?
|
reemat1234
 |
Created On: 07/10/2008 07:59:07
vp kijana mzima wewe...!
|
sweet voice
 |
Created On: 06/10/2008 21:06:05
nikopowa kabisa .sijuwi una2nyima nini huko?? 
|
8figure
 |
Created On: 06/10/2008 11:15:46
sawa tu haina manoma ni kweli hapa nilipo nilikuwa maeneo ya kavu ulijuaje? Si unajua B5 Tunawakilisha wangu haina noma nyc tym !!
|
sweet voice
 |
Created On: 05/10/2008 01:12:04
jst fyn n kul!vp mzm wewe kabisa .
|
sweet voice
 |
Created On: 04/10/2008 04:50:07
helow!
hey thnx 
|