8figure
 |
Created On: 10/11/2008 13:36:26
Nipo wangu vp mambo?
|
kamila
 |
Created On: 09/11/2008 21:12:03
hahah nice 2 hear that ......
|
GAUCHO
 |
Created On: 07/11/2008 14:08:07 Edited By GAUCHO On: 07/11/2008 14:10:52
hahaha mjasiriamali wangu eti nimefungua gereji,nimemkumbuka Mike behanafu wa majani mapana Tanga ni fundi mzuri sana wa baiskeli,si unajua kwetu kijichi wasomali walivyo na magereji mengi,na sisi wajasiriamali moja ya sifa yetu kubwa ni kupunguza gharama ili kupata faida sasa tunaajiri watoto wadogo ambao hawataki rand nyingi,na unajua hata familia zao zinawategemea mana watu wakubwa hasa weusi wa huku hawapendi kazi hizi wao wanapenda ubosi ukurugenzi kitambi meneja na kufunga tai kazi za ofisini full kipupwe full kiyoyozi,hahaha poa mana naongea sasa maneno ya msanii Juma Nature.Poa stay blessed na furahia wikiendi yako mjasiriamali wangu na hata ile stout yako usisite kuileta hapa gereji kwangu kuiripea. 
|
MaryAnn
 |
Created On: 07/11/2008 08:34:23
ebwana mi nipo shwari mzeeya hofu na mashaka ni kwako..nimepita kukusabahi
|
8figure
 |
Created On: 07/11/2008 08:13:54
Sijionyeshi wangu ila huku kwetu joto kama nini wangu acha tu so hapo napunga punga upepo then nitavaa,, Nyc tym!
|
gracejohnny
 |
Created On: 05/11/2008 12:22:56
Sup bro,wadhungu koko america wameziii leo...
yah man,kip it tight!Mi nakamua hapa zimamoto,test zimefululiza.
Haya tuonane...
|
United States of America
 |
Created On: 05/11/2008 09:12:21
CHANGE HAS COME TO AMERICA
|
shanii
 |
Created On: 05/11/2008 00:28:16
Your willcome u guys, it my pleasure
|
8figure
 |
Created On: 04/11/2008 09:37:35
Mi mzima wewe je?
|
DOMOZEGE
 |
Created On: 03/11/2008 12:45:04
ee bana m2 mambo vp ?
MBONA KIMYA UNANISHTUA MAN OIHHHH..,,.,.
|
shanii
 |
Created On: 31/10/2008 23:52:05
Hi, Am quet fine. Norway it cool. how was Kuala lumpur?
|
gracejohnny
 |
Created On: 30/10/2008 19:52:44
hahahaaa dah ilikuwa tight if thats the case,but we remain the lions of all univs!!
Nice to know that,so where at now?kip the ball rolling right?
Profile yako imenibamba.
|
debra
 |
Created On: 30/10/2008 09:29:51
Chalaangu upo??
|
JYYONDER
 |
Created On: 24/10/2008 13:24:25
poa mzazi kama upo fresh wangu.mi nipo fresh wangu ila pole kwa kupotea njia. Yup mzuka kama umepata Hi yangu toka Brother Gaucho kwan hata yeye leo amenipa hii kupitia ktk baraza letu la gahawa.
ok enjoy ur nice weekend mzazi
|
elkithiry
 |
Created On: 24/10/2008 11:10:57
salamu nilikuwa safarini ss nipo home thank
|