shamsee
 |
Created On: 29/07/2008 15:00:02
HUSBAMD MIE NINAPIT A TU USIJALI ILA YULE MNAIGERIA KANIFAT HJADI HAPA OFCN PAKAWA HAPATOSHI MAANA NILIMTOA NDIKI WE MWENYW SI UNAJUA MAMBO YANGU HADI MASTAFF WAKAANZA KUNIONEA NOMAA MAANA MSHKJI AKAJIFANYA KAFAAAAAAAA ETI ANANIPIGIA MAGOTI NIKAMWEKEA USO WA MBUZI YANI WE ACHA TU JION HII NDIO KIMEKUWA KITUKO CHA HII FLOOR YETU YA 1
ANYWAY ENJOY
SI UNAJUA FULL MZUXXXXXXXXXX
|
8figure
 |
Created On: 29/07/2008 11:34:34
Naona cku hizi unapita tu hata kuacha ujumbe hutaki sawa bana !!! Mi naendelea poa ila niliumwa umwa kidogo hapo katikati .....Nyc tym! Tchaooo........
|
GAUCHO
 |
Created On: 28/07/2008 19:34:02 Edited By GAUCHO On: 28/07/2008 19:34:38
niaje kaka,yani nakukosa ova mabasi ya ghorofa enzi hizo yaendayo ilala hapa chat rumu ila pamoko usijali Jah bless u!
|
shamsee
 |
Created On: 28/07/2008 14:59:05 Edited By shamsee On: 28/07/2008 15:00:57
sema HUS niaje lakin upo naona bonge la pozi mie simoooooooooooooo akija mnaigeria hapa
hehehhheh

|
meka
 |
Created On: 24/07/2008 10:20:10
hiiiii
pole sana ila jitahidi kuingia tu labda itawezekana maana nakumiss sana jamani, au labda chek na waheshimiwa labda watakusaidia tatizo lako, pole sana.
kule kwetu wasalimie sana,
siku njema.
|
diva
 |
Created On: 23/07/2008 04:23:14
yah i kno....how are you im fine
|
GAUCHO
 |
Created On: 22/07/2008 15:32:26
poa kaka,hata mm mozilla ya mwanzo ilikuwa inasumbua,hapa naenda pengine ndio poa,nyingi mambo ya kudownload java zinakuwa hazina kwahiyo hapo ni pc iwe na uwezo wa kuwa na java tu,ila pamoja wangu tunashukuru sana.
|
saed
 |
Created On: 22/07/2008 13:49:30
kaka unatishia usalama yani mi sina domo hapo yani ungemalizia na ulimi hapo aaaah ungewamaliza 
|
Lonely Shirima
 |
Created On: 22/07/2008 09:48:55
kaka pole sana ila usijali pa1 kaka trunasongesha hope mambo yatakuwa tambarare
|
Lonely Shirima
 |
Created On: 22/07/2008 09:18:38
mkuu mwenyewe naona umejikita ....... hapo hutaki masikhara good brooo umenata na beat
|
sifa
 |
Created On: 22/07/2008 09:05:34
ndugu yangu tangu funguo zionekane undugu wetu umekuwa wa mashaka kabisaaa
mi mzima sana sijui wewe mwenzangu
|
meka
 |
Created On: 22/07/2008 08:02:57
hiiiiiii!!
mzima lakini? yaani nimekumiss sana na siku hizi sikuoni kamwe online.
habari ya huko kule kwetu wazima?
nimepita kukupa hi tu maana umeadimika sana.
nakutakia siku njema wasalimie sana kule kwetu.
|
depayo
 |
Created On: 21/07/2008 20:52:50
cool parpito,mambo vip ,keep in touch
|
| kisingo |
Created On: 21/07/2008 14:55:50
poa unajua ilibidi nijifiche kidogo maana nilikorofisha mambo sasa kuonekana ikawa inshu ndio maana HATA SIMU SITUMII NATUMIA YA BONGO KUTUMA SMS KWA WALENGWA YANI KUMECHAFUKA +255776182528 AU +255787919261 BAADAE KAKA
|
Natural Man
 |
Created On: 19/07/2008 14:09:30 Edited By Natural Man On: 19/07/2008 14:12:41
Shemejiiiiiiiiiii
Haya nimeshindwa kuja kwa ajili ya ANKRA ila nikizishika za kutosha nitakuja nimchukue mai wife wowo!!!!!
hapa kwema SHEMEJI.
wape hi pande hizo huko.
Tatizo la jengojipya ngoja tuwaambie watawala walishughulikie hilo!!!
moko love m2 wangu!!!
|