8figure
 |
Created On: 01/08/2008 07:46:48
Sawa bwana nimekuaminia wangu ... ..Gud day !!
|
mtonikitambo
 |
Created On: 01/08/2008 01:59:03
haya kaa tayari kwa picha mwee tayari,,pozi tu kachaa wangu,,
|
natty gal.
 |
Created On: 31/07/2008 18:08:00
poa asanti nilikuja lakini sikukupata kwani ulikuwa shuleni ama kazini?but hope uko poa pia wewe. laterz.
|
carine
 |
Created On: 31/07/2008 10:41:57
hhahahha ok kaka yangu palilieni kahawa vizuri nataka nije huku mwezi 12 kuvuna kahawa nilete dar niuze si unajua maisha huku yako juu bila kuwa na hela huishi mjini ndio maana nabembeleza haka kashamba kangu kama yai kaniletee mavuno mengi.
|
carine
 |
Created On: 31/07/2008 10:09:35
hahah kumbe wewe wa kule kule kwa massawe alikuwepo!! Poa karibu sana gheto. Kwetu ni kibosho kirima
|
carine
 |
Created On: 31/07/2008 09:47:28
nachicha shimbonii shafo!! karibu sana wangu ukija zama chumbani utanikuta
|
natty gal.
 |
Created On: 30/07/2008 19:44:03
oh pole kwa kutokusalimia.niko salama salmini.hope u too.how areu?
|
carine
 |
Created On: 30/07/2008 19:06:55
shikamoo mjomba naona umepita kwangu ukaacha kugonga sasa mimi nimekuja kwako nifungulie
|
rahima
 |
Created On: 30/07/2008 13:30:36
asante kaka yangu nashukuru
|
my rachel
 |
Created On: 30/07/2008 13:15:26
asante wangu kwa kupita,,karibu tena katika show ya kwa tumbo..ha ha hutolipa kiingilio,,good day
|
GAUCHO
 |
Created On: 30/07/2008 12:07:35
salamu mkubwa,nimepita tena,ati wanasema salamu ni hafu ya kuonana,ila nahopu upo poa bin mzima wangu,pamoko sana nilikusoma amani iwe kwako mkuu!
|
debra
 |
Created On: 30/07/2008 10:14:37
Chalaangu mi bado matembezi nayapenda namuenzi nanihii...
Chalaangu eeeeh moko love,
PamoJAH
|
sifa
 |
Created On: 30/07/2008 09:09:43
hivi ule upendo ulikuwa ni wa mshumaa ehee.
maana tangu tuingizwe chumbani hatutembeleani kabisa.
mzima lakini, nice day
|
shamsee
 |
Created On: 30/07/2008 08:53:48
hey husband napita wangu anyway habari ndo hiyo
poa poa yani upo juu

|
Lilyswai
 |
Created On: 29/07/2008 18:53:20
Mzima kabisa kaka yangu habari za ulipo?
|