Gray Mgonja Naye KortiniKatibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, ambaye yuko katika likizo ya kustaafu, Grey Mgonja, jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka manane.
Serikali Yala Sahani Moja Na RichmondSerikali imefungua uwanja mpya wa mapambano dhidi ya wabunge baada ya kutangaza wazi kwamba ina mpango wa kununua mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Dowans, uamuzi ambao unapingwa vikali na wawakilishi hao wa wananchi.
Pinda Acharukia Semina MashangingiHatimaye, Serikali imesikia kilio cha muda mrefu cha walipa kodi juu ya matumizi makubwa yasiyo ya lazima serikalini katika ununuzi wa magari ya kifahari maarufu kwa jina la mashangingi na sasa ununuzi wake utapunguzwa kwa kiwango kikubwa.
URA Yaiadhibu Mtibwa TuskerTIMU ya Mtibwa Sugar imeanza vibaya michuano ya Kombe la Tusker kwa kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mamlaka ya Mapato Uganda (URA).
Stars Yapokelewa Kishujaa DarMaelfu ya mashabiki wa soka wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza katika mitaa mbalimbali ili kuilaki timu ya taifa, Taifa Stars iliyorejea nchini kutoka Sudan baada ya kufanikiwa kukata tiketi ya kushiriki fainali za kwanza za Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN).
Bilicanas Kufunguliwa Rasmi Le...
- procurement and accounting ...
By: mlavitu flan flan
Bado Nipo Nipo - Mwana FA
- hoo no noma - :woohoo: nime...
By: manramzo
Fid Q ft AY & Ncha Kali - Shim...
- Mazee Hiyo imesimama Shi...
By: Gonabis
Fid Q ft AY & Ncha Kali - Shim...
- Eng by prof - shi...shi.....
By: fademark
Fid Q ft AY & Ncha Kali - Shim...
- ACHENI USHAMBA-MABINGWA WA&...
By: Gonabis
Black Rhyno - Vaa Tutoke
- sijui nikuambie nini ilike ...
By: mpeter
Moto Unawaka - Klex
- :huh: jamani mm naona mmeim...
By: mpeter
Flaviana crowned Miss Universe...
- hi hamjambo ndugu zangu wte...
By: pesa2
Bado Nipo Nipo - Mwana FA
- :evil: :evil: Wow is god :...
By: anita bitwa
CPWAA - PWAA Part II
- Alo tudo bem??? :) :) :...
By: Imaculada