SwahiliEnglish
            Lost Password?    Bofya hapa kujiunga
Salamu Mpya!
spender:

NATAFUTA WANAFUNZI WENZANGUTULIO MALIZA NAO MZUMBE SECONDARY SCHOOL MWAKA 2000,NAOMBA TUWASILIANE,



Kona ya Muziki




Advertisement
Sudoku
NaSh's Profile
Personal URL: http://www.bongo5.com/NaSh
Hits 265
Online Status OFFLINE
Member Since 23/04/2008 05:52:03
Last Online 02/11/2008 02:18:20
Last Updated Never
NaSh
City: OKC
Hometown: R chugga
Country - Nchi: Tanzania
Gender - Jinsia: Female
Age - Umri: 18 to 23
Relationship Status: Single
Drinker - Mnywaji?: No
Smoker - Mvutaji?: No
My Photos & Videos

Only Registered Members Allowed to view the Photos in this Gallery!
Not a member yet? Click here to register now, its easy & free!




My Photo Albums

My Videos
Profile Visitors
The last 3 profile visitors
 
PhotoNameTime
   nasir  Date: 23-4-08 Time:11:39 
   rijal2008  Date: 23-4-08 Time:10:43 
   PORTABLE  Date: 23-4-08 Time:08:51 
 
My Guestbook


This user currently doesn't have any posts.

My friends
This user has no friends at this moment.
Bilicanas Kufunguliwa Rasmi Leo
Ladies and Gentlemen hayawi hayawi sasa yamekuwa!! Its now official club kongwe na maarufu nchini Tanzania Club Bilicanas leo itafungua milango wazi kuwakaribisha wapenda starehe jijini Dar-es-Salaam na Tanzania kwa ujumla
Soma Zaidi...
Mwana Fa Huyoo UK....tena
Msanii maarufu wa muziki wa kufoka foka Hamisi mwinyijuma ambaye anajulikana zaidi kama Mwanan FA yuko mbioni kuelekea nchini uingereza.
Soma Zaidi...
Chupa Za Maji Zahujumiwa
Hii ni pengine breaking newz kwa wale wote wanaopenda kununua maji njiani yaani yanayosambazwa na kuuzwa na wachuuzi wa maji katika barabara na mitaa ya jiji la Dar-es-Salaam
Soma Zaidi...
Sasa zamu ya Mramba, Yona
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jana ilipanda joto baada ya mawaziri wa zamani wawili Bw. Basil Mramba na Bw. Daniel Yona, kufikishwa hapo, wakituhumiwa kutumia vibaya madaraka yao wakiwa mawaziri
Soma Zaidi...
Gray Mgonja Naye Kortini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, ambaye yuko katika likizo ya kustaafu, Grey Mgonja, jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka manane.


Serikali Yala Sahani Moja Na Richmond

Serikali imefungua uwanja mpya wa mapambano dhidi ya wabunge baada ya kutangaza wazi kwamba ina mpango wa kununua mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Dowans, uamuzi ambao unapingwa vikali na wawakilishi hao wa wananchi.


Pinda Acharukia Semina Mashangingi

Hatimaye, Serikali imesikia kilio cha muda mrefu cha walipa kodi juu ya matumizi makubwa yasiyo ya lazima serikalini katika ununuzi wa magari ya kifahari maarufu kwa jina la mashangingi na sasa ununuzi wake utapunguzwa kwa kiwango kikubwa.


URA Yaiadhibu Mtibwa Tusker

TIMU ya Mtibwa Sugar imeanza vibaya michuano ya Kombe la Tusker kwa kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mamlaka ya Mapato Uganda (URA).


Stars Yapokelewa Kishujaa Dar

Maelfu ya mashabiki wa soka wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza katika mitaa mbalimbali ili kuilaki timu ya taifa, Taifa Stars iliyorejea nchini kutoka Sudan baada ya kufanikiwa kukata tiketi ya kushiriki fainali za kwanza za Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN).


Picha Mpya za WanaBongo5
Weka picha zako!
 

Highslide JS
Frazzy
2009-01-06

Highslide JS
mteka
2009-01-06

Highslide JS
dude222
2009-01-06

Highslide JS
rajeymasterplan
2009-01-05

Matukio Mapya
Miss East Africa - 07 February...
Hamburg - 07.02.2009 | 23.00
Jiunge kutangaza matukio yako!!

Your Comments
Mijadala
VIDEO:NJIA MPYA YA KUJIFUNGUA (KUZAA),&...
evarist 07-01-09 06:06
rais wa jamuhuri ya Tanzania
mdigo 02-01-09 11:16
VIDEO YA BINADAMU ALIYE NUSU MTU NUSU MMEA
evarist 28-12-08 23:30
Domain name, Website & Hosting service ...
wealthonline 28-12-08 20:55
Domain name, Website & Hosting service ...
wealthonline 28-12-08 20:32

Total Members
total 21942 wanachama
female 5431 female
male 16432 male
month 148 mwezi huu
Mpya: bryton
Who's Online Now
We have 109 guests online and 7 members online
Audaxsb abbyzb2000 salompa DOMOZEGE kelly31 asa chatwithmi
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com