Created On: 08/11/2008 00:23:27 mimi nipo poa kabisa mkubwa wangu,kesho nadhani nitakwenda modena mungu akipenda maana nimesikia wanafungua tawi la tanzanian community pale.buon fine settimana.
Created On: 28/10/2008 23:23:07 Edited By maroxcity On: 28/10/2008 23:24:29 ni muda mrefu uncle umepita sasa vipi hapo wazima wote?salutami la famiglia.