natty gal.
 |
Created On: 18/08/2008 18:49:39
poa sana mambo?thanx kwa kupiti jah bless peace for now later.
|
ordibehesht 2
 |
Created On: 18/08/2008 14:10:23
hata wewe dada unakaribishwa kwa mapana na marefu wape hi bongo
|
GAUCHO
 |
Created On: 18/08/2008 12:27:17
mwenzio nimekabidhiwa duka siku hizi ndio mana adimu sana nimekuwa poa siku njema iwe kwako wa kunyumba!
|
Ngweno
 |
Created On: 17/08/2008 11:46:19
jiraniii vibaya hivyo hata kunijulia hali?
|
LAURA G
 |
Created On: 15/08/2008 14:28:01
hujambo weyeeeeeeeee,mie niko makini kama chuma
|
| crishna |
Created On: 15/08/2008 12:03:19
niambie mrembo km nancy sumari upo?miss u dada!
|
debra
 |
Created On: 14/08/2008 11:09:17
Mdogoaangu niko namtafuta kaka yetu West simuoni ati umemuona??
Yaani nyie wadogo zangu mumekua munatembea kuliko mie lol!!
Sipendi namna hii nitamwambia shemeji yenu atembeze mkongoto naona mshasahu sasa!!
Ohoooo bahati yenu sijasema mie!!
Heheheheee...nimekumiss kweikwei!!
|
benmugashe
 |
Created On: 14/08/2008 08:10:18
mdogo wangu hii picha naikumbuka mwaka jana hivi haujabadirika ukatuwekea current pic..maana mmmmm 
|
GAUCHO
 |
Created On: 13/08/2008 13:55:03
nimeona wa kunyumba kuhusu huyo binti mlokole a.k.a mrembo tmk kakataa umiss wa redds bull,ila sina zaidi yangu sijui walimsema kanisani kwao alivyoshiriki miss tz mwanzo au alikuwa amelenga miss tz kushinda sa ndio kajitosa,sijui,haya waambie kina katembo na komba wanisubiri hapo mlimani city mall au kama vp tutaonana nao nakapanya huko.
|
fonser
 |
Created On: 12/08/2008 19:05:16
lng tym!
mwaaaah!
|
| crishna |
Created On: 12/08/2008 17:59:07
mrs. nanilii upo?hahahahaa mwambie anilii mi ushaniambia kwa hiyo asiogope kitu!au tupange tumt sote mahali ili mnipe habari vizur mana naona km siamini vile!pamoja mamaaaaaaaa!
|
Yassern
 |
Created On: 12/08/2008 02:49:39
nimekusubiri Airport hadi nimekoma,yaani ndege zote zinazotoka Afurika lakini sijakuona,lol! nimelala eapoti!mbona kimya ? au umeenda moja kwa moja beijing?hha!peace,luv,respect,unity..pamoja!
|
klex
 |
Created On: 11/08/2008 17:28:04
Hey sana wangu thanx fro comments girl take care sinza vipi ? 
|
PETRO
 |
Created On: 11/08/2008 15:07:26
ndie lakini nilitubu
|
MwanaAppolo
 |
Created On: 10/08/2008 18:19:42
hi there gal.karibu na kwetu
|