Created On: 25/08/2008 12:09:35 Hi mbona mtu wangu una nitupa ki hivyo? sio ishu fanya mpango wakini visit kwenye profile langu ili unifurahishe au hupendi kunifurahisha?
Created On: 23/08/2008 12:35:39 Edited By PABLO On: 23/08/2008 12:36:40 Hallow Mzima Lakini?Nilikuwa napita nikaona nisipite kimya kimya Bila Kukusabahi siku njema
crishna
Created On: 22/08/2008 17:31:18 shikamoo dada!mwee pole my dia friend na miskukosuko!ndo dunia mpenzi!wala ucwe na wacwac coz tuko wengi tunaokupenda na kukujali dia!we chukulia poa tu mpenzi!i luv u baby sifa!
Created On: 20/08/2008 13:59:47 I was inside sema wewe tu hukugonga hodi gal.nlipita siku moja mitaa ya kijiweni nikakuona nikaita weeee wapi?ulikua umevaa hijabu!!