PETRO
 |
Created On: 01/09/2008 19:12:23
sema mtoto wa sinza nitakuja kukutembelea baadae
|
debra
 |
Created On: 01/09/2008 16:40:04
Mdoooangu mweeh unempiga mabiti yule nanihii!!
Heheheee bukta fupi atakuhusu mi nishachoka nishachoka mie...
Heheee niko poa niko kune boksi leo.
Nimekukosa lol!!
|
benmugashe
 |
Created On: 01/09/2008 10:16:33
Message derivered ma dear sister.. vipi wazima huko Sinza kwa wajanja.. mitaa ya Fine?
|
Mwajei
 |
Created On: 31/08/2008 15:33:40
oohh best..pole na mizunguko..anyway haina noma..mi nipo tu..savaiving..gud msg u hv it ur pic...guday mrembo..cya around
xoxo
|
swejacky
 |
Created On: 30/08/2008 14:00:24
hi, thanks for passing by
|
PKJ
 |
Created On: 29/08/2008 17:08:55
Yeyoooo! Ebwana we ulikuwa mganga nini? maana nilikuwa mwalimu kabla ya kuwa mwana rum, sasa nimekumbukia enzi zangu!
Nashukuru kwa kunitilia maguu home kwangu na mie napita kgd kuna mahali nawahi, nitaingia nikirudi.. Hahahaaaa!!
|
GUCCI
 |
Created On: 29/08/2008 16:00:54
hii and thanx for passing by
|
speed
 |
Created On: 29/08/2008 11:37:38
mh toto la sinza una mambo wewe, usijali sasa hivi nitakutoa offer private mithili ya honey moon, jst stay calm. ukija usiwe na jinsi, uvae gauni la kitambaa chepesi ili offer hiyo inoge zaidi.sawa eh!!
|
GAUCHO
 |
Created On: 29/08/2008 11:12:09
wa kunyumba unajua mgao wa maji unanifanya niwe bize mithili ya jafharai vile kuteka maji kisimani,otherwise umzima wewe?katembo,sungura na ngonyani wamshukuru mwenyezi hofu yao juu yako!
|
Nisipitwe
 |
Created On: 29/08/2008 00:23:02
hello mpedwa.
ama mipishano kila nikija sikukuti afu nimekumiss hujambo likini,week end njema :
|
kasambula.jr
 |
Created On: 28/08/2008 21:39:08
Mpendwa mimi mzima sijui wewe 
|
g_thedon
 |
Created On: 27/08/2008 15:49:04
Okay but tell them wasi kuweke so bize kwasababuuu????!!!!!!! they will make you so kuchokaling. wape hi wote.
|
debra
 |
Created On: 27/08/2008 14:57:59
Mhhh nimeambiwa umenanihiii kwa yule chalaa yetu....sasa rudisha haraka sana kabla sijamwita bukta fupi akutandike mikwaju....Mi nimechoka mara aunesepa na vitumbua mara ,mara unepokonya visheti vya watu mweeh nachoka mie jama...
Nawita bukta fupi sasa hivi aje kenda unajua kucheza bao anakauja shauri ako!!
Moko lavu...Nimekumiss lol!!
|
Beminem
 |
Created On: 27/08/2008 04:23:29
Heyyyyy..and that smile..wow, keep it real, you know how to do it
|
g_thedon
 |
Created On: 26/08/2008 16:45:56
you have visit my prof lakini huku niandikia kitu sijui kwanini?
|