Created On: 17/09/2008 15:22:10 Mdogoangu nipo huku.
Ckuizi bukta fupi anivalisha kininja hata kuona watu sioni vizuri mweeeh,
Hata weee na nanihii yule wa ndala ndefu nilitaka mpita
Moko love mdogoangu
Created On: 08/09/2008 18:48:15 Sasa dear, nitakuja kwenye reli pale mtaani kwenu baada ya ukuta wa posta si utakuja?.. nakupenda eheh ntakulete mapera na karanga mbichi.. uje basi dear!!!
Created On: 04/09/2008 13:53:14 Edited By benmugashe On: 04/09/2008 13:54:17 Sasa mwenzio nimeanza biashara ya dog nitafutie wateja jamani si unaona jinsi gani vilivyonona, navipakia kwenye Pikipiki..napatikana kwenye numbe zangu za tigo, zain and vodacom number ileile 88888