Created On: 13/10/2008 10:23:32 Hujui kama kuna Xtreme ya TANESKO inaitwa 'bwerere' ni nzuri ila kujiunga kwake lazima uwe jasiri kama hivi! Masharti ya kujiunga kwanza uwe pekupeku halafu unatakiwa utumie mti m-bichi..
Created On: 09/10/2008 16:46:06 hi 2u..mama nanihiii
mzima weye, nafurahi kukuona, nimekumic kama kitumbua cha mtama hakyamungu
afu weekend hii nataka nimlete koku aje kukusalimia
Created On: 04/10/2008 13:15:45 Mdogoangu haijalishi watu wanasema nini..
KOMAA NDIO UKUBWA!
Sasa moto ni ule ule,wapende tuu afu mwisho wa siku wafanye makumbusho sawa ehh??