Created On: 05/08/2008 11:16:46 Ngaiseri hajambo na leo nimepata taarifa zake hajambo kabisa,alipelekwa kuthalimia wenzio kimaumbile tuuu...Ila kitabia walaaaa
Haya mdogo wangu leo urudi home staright usipite kona jana bi mkubwa kamind ulichelewa!!Moko lavu
Created On: 04/08/2008 15:23:50 sema mdogo wake na nanihii..mambo vp?asante sana kwa salam.samahani nilikuwa bize na kushangaa mambo ya olimpiki..peace,luv,respect,unity..pamoja!!
Created On: 04/08/2008 10:34:52 sema mrembo wa sinza niaje??kwangu unakuja kwa machale sana siku hizi vp au upo kwenye maandalizi ya harusi nn??mi mzima sijui wewe!!!