klex
 |
Created On: 10/08/2008 15:53:13
http://www.klexmusic.blogspot.com/
|
SeCuRe
 |
Created On: 09/08/2008 23:34:46
asante sana, nawe pia unavutia.
|
mlavitu flan flan
 |
Created On: 09/08/2008 12:38:29
usijali mpenzi wewe ndo namba moja.vumilia tu ndo mambo ya ndoa hayo wivu ni lazima shostitra
|
| west cost |
Created On: 09/08/2008 12:27:30
mmmhh!! dada yangu toka kuoolewa ndio busy mpaka unawasahau ndugu zako sawa one lov pamoJAHHH
|
GAUCHO
 |
Created On: 08/08/2008 16:21:04
vp wa kunyumba anasemaje Ngonyani hapo kili time? 
|
woozgan
 |
Created On: 07/08/2008 23:50:50
vipi wewe hujambo.
|
benmugashe
 |
Created On: 07/08/2008 07:50:52
Dada leo siendi shule tena nakusubiri unambie ukweli.. 
|
Msambaa
 |
Created On: 06/08/2008 21:26:04
Ahsante kwakutembelea ukurasa wangu.
|
PABLO
 |
Created On: 06/08/2008 19:43:32
Hallow ila hata wewe si mchezoMhh!!!,Unasalimiwa na kina Zuma huku wanaomba sapoti yenu kwani hali ni mbaya ya Kesi yake.
|
GAUCHO
 |
Created On: 06/08/2008 13:26:32
wa kunyumba leo nilikuwa na komba kwenye lizombe mana karibia anamuoza mwanae sasa ni lizombe na ugimbi tu huko bomba 2.
|
Carmelo
 |
Created On: 06/08/2008 11:02:06 Edited By Carmelo On: 06/08/2008 11:02:43
mmhh na wewe kumbe ni wa mitaa ya nyumbani?? wazima huko lkn??
|
mtonikitambo
 |
Created On: 06/08/2008 00:30:44
lips hizo unanitega,,hah,,,,
eti hii pic yng inasema kweli au la,,,
|
PETRO
 |
Created On: 06/08/2008 00:25:07
NI, MIMI NDIE JANA NA LEO NA HATA MILELE
|
213RIZ
 |
Created On: 05/08/2008 15:56:35
Mambo ni poa mtu wangu tunashukuru!nilikuwa speed kidogo ikawa sionekani ila tuko pamoja na hakuna shaka au siyo?lol!Thanks!
|
GAUCHO
 |
Created On: 05/08/2008 14:09:31
wa kunyumba hapo nam2mbo wangu umeteleza kidogo 
|