Created On: 07/01/2009 12:59:18 hi mzima ww
koku anataka kuja kukuona ww shangazi yake
yaan kila siku ananisumbua tu ilikuwa aje xmass
ila simu yako ilikuwa haipatikani
Created On: 04/12/2008 17:56:42 duh mdogo wangu nakosa la kusema hapa kwanza asante kwa ujumbe wako mzuri sana na pia nasema asante kwa kupamba nyumba yako vyema sana na pia nikukaribisha nyumbani kwetu sakina arusha uje kuna zawadi zako kuan\zia tarehe 6 mpaka 10