SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
Latest Shout-Out!
spender:

NATAFUTA WANAFUNZI WENZANGUTULIO MALIZA NAO MZUMBE SECONDARY SCHOOL MWAKA 2000,NAOMBA TUWASILIANE,



Music Corner




Advertisement
Sudoku
sifa's Profile
Personal URL: http://www.bongo5.com/sifa
Hits 4340
Online Status OFFLINE
Member Since 17/04/2008 16:06:12
Last Online 22/12/2008 17:18:45
Last Updated 22/12/2008 11:27:11
sifa
City: dar es salaam
Hometown: sinza
Country - Nchi: Tanzania
Gender - Jinsia: Female
Age - Umri: 18 to 23
Relationship Status: Not Looking
Drinker - Mnywaji?: No
Smoker - Mvutaji?: No
About Me :: Kuhusu Mimi: kawaida
I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na: wapenda maendeleo, NOT: sipendi kukutana na watu wapenda majungu.
Interests - Napenda: reading, watching tv, cooking, sleeping and travelling
My Photos & Videos

Only Registered Members Allowed to view the Photos in this Gallery!
Not a member yet? Click here to register now, its easy & free!




My Photo Albums

My Videos
Profile Visitors
The last 10 profile visitors
 
PhotoNameTime
   annakasuga  Date: 07-1-09 Time:12:51 
   flora  Date: 06-1-09 Time:19:25 
   sayuni  Date: 28-12-08 Time:07:33 
   vinho211  Date: 25-12-08 Time:13:17 
   DONIZ  Date: 24-12-08 Time:16:43 
   benmugashe  Date: 22-12-08 Time:14:52 
   MaryAnn  Date: 22-12-08 Time:11:22 
   mkulima  Date: 22-12-08 Time:01:54 
   lil miss P  Date: 20-12-08 Time:16:31 
   213RIZ  Date: 20-12-08 Time:03:27 
 
My Guestbook

Name Entry
g_thedon
Created On: 27/10/2008 16:52:34

Hiiii!!! mzima wewe?

PABLO
Created On: 21/10/2008 13:35:11

Stoping By to show your Page Some Love


PKJ
Created On: 13/10/2008 10:23:32

Hujui kama kuna Xtreme ya TANESKO inaitwa 'bwerere' ni nzuri ila kujiunga kwake lazima uwe jasiri kama hivi! Masharti ya kujiunga kwanza uwe pekupeku halafu unatakiwa utumie mti m-bichi..

Qu33nDiva
Created On: 12/10/2008 18:22:43

Hiii Hw r u?
Watsup!


meka
Created On: 10/10/2008 09:01:23

asante mai dia,

mambo vipi lakini? nimepita kukupa hi lakini nimeishia nje maana ww kwa kuzuzura sijui umeenda wapi.

haya zawadi yako nimekuwekea hapo mlangoni.

sweet voice
Created On: 10/10/2008 00:51:10

HELOOW DEAR .

tanzanian boy
Created On: 09/10/2008 21:20:59

daa
mi nitakwambia
CUF oyeeeeeeeeee
!!!!!!!!!!!!


Ngweno
Created On: 09/10/2008 18:28:09

vipi jirani yangu mbona kimya hivyo upo kweli hata kunipitia siku hizi hutaki.

benmugashe
Created On: 09/10/2008 17:27:13

Ehe Bwana wa TBL kibariki kinywaji hiki na wanyaji wake wote wapate nguvu za kutumika vema...thanx

annakasuga
Created On: 09/10/2008 16:46:06

hi 2u..mama nanihiii
mzima weye, nafurahi kukuona, nimekumic kama kitumbua cha mtama hakyamungu
afu weekend hii nataka nimlete koku aje kukusalimia

benmugashe
Created On: 07/10/2008 17:53:17

Salamu dada.. mwenzio leo niko movie a kihindi jamaa amelitafsiri.. kama vipi njoo ucheki picha..

debra
Created On: 04/10/2008 13:15:45

Mdogoangu haijalishi watu wanasema nini..
KOMAA NDIO UKUBWA!
Sasa moto ni ule ule,wapende tuu afu mwisho wa siku wafanye makumbusho sawa ehh??


debra
Created On: 03/10/2008 13:55:14

[color=#008000]Mdogoangu....
Ninapita tuu nenda hapo mbele kwa duka la mangi mafuta ya taa yaneisha


fonser
Created On: 23/09/2008 16:34:59

tsup!

tanzanian boy
Created On: 20/09/2008 18:31:54

yo
mambo vipi
nimepita tukusalimia



My friends
OFFLINE oscarparison
OFFLINE Ngweno
OFFLINE mlavitu flan flan
OFFLINE fonser
OFFLINE miti
OFFLINE stella bady
OFFLINE benmugashe
OFFLINE automaticciera@aol.com
OFFLINE kayaman3
OFFLINE safari985
OFFLINE lion_wh
OFFLINE Lonely Shirima
OFFLINE woozgan
OFFLINE Ruge5
OFFLINE g_thedon
OFFLINE diamond
OFFLINE koolz
OFFLINE TOBOATOBO
 
<< Start < Prev [1] 2 Next > End >>
Bilicanas Kufunguliwa Rasmi Leo
Ladies and Gentlemen hayawi hayawi sasa yamekuwa!! Its now official club kongwe na maarufu nchini Tanzania Club Bilicanas leo itafungua milango wazi kuwakaribisha wapenda starehe jijini Dar-es-Salaam na Tanzania kwa ujumla
Read more...
Mwana Fa Huyoo UK....tena
Msanii maarufu wa muziki wa kufoka foka Hamisi mwinyijuma ambaye anajulikana zaidi kama Mwanan FA yuko mbioni kuelekea nchini uingereza.
Read more...
Chupa Za Maji Zahujumiwa
Hii ni pengine breaking newz kwa wale wote wanaopenda kununua maji njiani yaani yanayosambazwa na kuuzwa na wachuuzi wa maji katika barabara na mitaa ya jiji la Dar-es-Salaam
Read more...
Sasa zamu ya Mramba, Yona
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jana ilipanda joto baada ya mawaziri wa zamani wawili Bw. Basil Mramba na Bw. Daniel Yona, kufikishwa hapo, wakituhumiwa kutumia vibaya madaraka yao wakiwa mawaziri
Read more...
Gray Mgonja Naye Kortini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, ambaye yuko katika likizo ya kustaafu, Grey Mgonja, jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka manane.


Serikali Yala Sahani Moja Na Richmond

Serikali imefungua uwanja mpya wa mapambano dhidi ya wabunge baada ya kutangaza wazi kwamba ina mpango wa kununua mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Dowans, uamuzi ambao unapingwa vikali na wawakilishi hao wa wananchi.


Pinda Acharukia Semina Mashangingi

Hatimaye, Serikali imesikia kilio cha muda mrefu cha walipa kodi juu ya matumizi makubwa yasiyo ya lazima serikalini katika ununuzi wa magari ya kifahari maarufu kwa jina la mashangingi na sasa ununuzi wake utapunguzwa kwa kiwango kikubwa.


URA Yaiadhibu Mtibwa Tusker

TIMU ya Mtibwa Sugar imeanza vibaya michuano ya Kombe la Tusker kwa kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mamlaka ya Mapato Uganda (URA).


Stars Yapokelewa Kishujaa Dar

Maelfu ya mashabiki wa soka wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza katika mitaa mbalimbali ili kuilaki timu ya taifa, Taifa Stars iliyorejea nchini kutoka Sudan baada ya kufanikiwa kukata tiketi ya kushiriki fainali za kwanza za Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN).


Latest Members Photos
Upload Photos to your Personal Album
 

Highslide JS
Frazzy
2009-01-06

Highslide JS
mteka
2009-01-06

Highslide JS
dude222
2009-01-06

Highslide JS
rajeymasterplan
2009-01-05

Upcoming Events
Miss East Africa - 07 February...
Hamburg - 07.02.2009 | 23.00
Register now to add your events!!

Your Comments
Latest Forum Entries
VIDEO:NJIA MPYA YA KUJIFUNGUA (KUZAA),&...
evarist 07-01-09 06:06
rais wa jamuhuri ya Tanzania
mdigo 02-01-09 11:16
VIDEO YA BINADAMU ALIYE NUSU MTU NUSU MMEA
evarist 28-12-08 23:30
Domain name, Website & Hosting service ...
wealthonline 28-12-08 20:55
Domain name, Website & Hosting service ...
wealthonline 28-12-08 20:32

Total Members
total 21945 registered
female 5431 female
male 16435 male
month 151 new this month
New: jahrastafari
Who's Online Now
We have 47 guests online and 3 members online
Ishmael sanchez zaphyz
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com