SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
Latest Shout-Out!
spender:

NATAFUTA WANAFUNZI WENZANGUTULIO MALIZA NAO MZUMBE SECONDARY SCHOOL MWAKA 2000,NAOMBA TUWASILIANE,



Music Corner




Advertisement
Sudoku
sifa's Profile
Personal URL: http://www.bongo5.com/sifa
Hits 4339
Online Status OFFLINE
Member Since 17/04/2008 16:06:12
Last Online 22/12/2008 17:18:45
Last Updated 22/12/2008 11:27:11
sifa
City: dar es salaam
Hometown: sinza
Country - Nchi: Tanzania
Gender - Jinsia: Female
Age - Umri: 18 to 23
Relationship Status: Not Looking
Drinker - Mnywaji?: No
Smoker - Mvutaji?: No
About Me :: Kuhusu Mimi: kawaida
I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na: wapenda maendeleo, NOT: sipendi kukutana na watu wapenda majungu.
Interests - Napenda: reading, watching tv, cooking, sleeping and travelling
My Photos & Videos

Only Registered Members Allowed to view the Photos in this Gallery!
Not a member yet? Click here to register now, its easy & free!




My Photo Albums

My Videos
Profile Visitors
The last 10 profile visitors
 
PhotoNameTime
   annakasuga  Date: 07-1-09 Time:12:51 
   flora  Date: 06-1-09 Time:19:25 
   sayuni  Date: 28-12-08 Time:07:33 
   vinho211  Date: 25-12-08 Time:13:17 
   DONIZ  Date: 24-12-08 Time:16:43 
   benmugashe  Date: 22-12-08 Time:14:52 
   MaryAnn  Date: 22-12-08 Time:11:22 
   mkulima  Date: 22-12-08 Time:01:54 
   lil miss P  Date: 20-12-08 Time:16:31 
   213RIZ  Date: 20-12-08 Time:03:27 
 
My Guestbook

Name Entry
benmugashe
Created On: 02/12/2008 09:16:37

Thanks for Good message, we real need to be careful maana takwimu zinasema wanawake 8%mnaishi mjini mmeathirika na wanaume 5% pia... according to government

stella bady
Created On: 01/12/2008 17:37:13

hi, mambo?

DONIZ
Created On: 01/12/2008 16:41:56

yeah cfa kama kawa..2napigana na huyu adui...ukimwi kwa kwenda mbele..uaminifu na ukweli ndio bunduki yake..aiiiyt.take care ucje potea.

8figure
Created On: 01/12/2008 16:19:06

TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA NA INAANZA NA WEWE AMBAYE BADO UPO UPO SANA!!

GAUCHO
Created On: 01/12/2008 12:46:01

asante sana kwa ujumbe wako wa kunyumba nashukuru nimekusikia,siku njema iwe kwako pia take care!

MaryAnn
Created On: 01/12/2008 12:14:33

duh..haya mwanaaa...ubarikiwe na LORD.

debra
Created On: 01/12/2008 11:24:29

Hhaahahaaa mi ni VAAAAAAAAAAA
Mweh sante kwa reminder!
One love my mdogo!!


GAUCHO
Created On: 14/11/2008 14:43:21

wa kunyumbaa,upo?

nasir
Created On: 14/11/2008 13:58:16

hey vipi mambo wangu nimepita kukupa hii wangu

debra
Created On: 14/11/2008 11:47:11

Ivii weee ukwapi??
Sikuja nilikuwa na bukta fupi umeona ehh tulipokua??Ustake kujua tulikua wapi viti vinebaki venyewe ahayakuhusu mdogoangu mie mkubwa mie!
Nimekumiss mweh!!


debra
Created On: 12/11/2008 11:42:37

Mweeh ukwapi weye?
Nimekumiss kikenya mai mdogo!!
Haya ntakuvutia waya muda si mrefu ivooo ujue!
PamoJAH!
Ngaisari kenda kutembea!


pollymagy
Created On: 06/11/2008 15:09:06

mafitu kama makeki au uyoga

debra
Created On: 31/10/2008 10:49:23

Mdogoangu unewaona sojaa hao??
Ukwapi weye??
Nimekukosa mweh!


nasir
Created On: 30/10/2008 10:42:16

hey vipi mambo wangu nimekumiss sana nimekuja kukupa hii wangu ila unanitamanisha na hizo keki wangu

8figure
Created On: 28/10/2008 12:25:14

We binti upo??


My friends
OFFLINE oscarparison
OFFLINE Ngweno
OFFLINE mlavitu flan flan
OFFLINE fonser
OFFLINE miti
OFFLINE stella bady
OFFLINE benmugashe
OFFLINE automaticciera@aol.com
OFFLINE kayaman3
OFFLINE safari985
OFFLINE lion_wh
OFFLINE Lonely Shirima
OFFLINE woozgan
OFFLINE Ruge5
OFFLINE g_thedon
OFFLINE diamond
OFFLINE koolz
OFFLINE TOBOATOBO
 
<< Start < Prev [1] 2 Next > End >>
Bilicanas Kufunguliwa Rasmi Leo
Ladies and Gentlemen hayawi hayawi sasa yamekuwa!! Its now official club kongwe na maarufu nchini Tanzania Club Bilicanas leo itafungua milango wazi kuwakaribisha wapenda starehe jijini Dar-es-Salaam na Tanzania kwa ujumla
Read more...
Mwana Fa Huyoo UK....tena
Msanii maarufu wa muziki wa kufoka foka Hamisi mwinyijuma ambaye anajulikana zaidi kama Mwanan FA yuko mbioni kuelekea nchini uingereza.
Read more...
Chupa Za Maji Zahujumiwa
Hii ni pengine breaking newz kwa wale wote wanaopenda kununua maji njiani yaani yanayosambazwa na kuuzwa na wachuuzi wa maji katika barabara na mitaa ya jiji la Dar-es-Salaam
Read more...
Sasa zamu ya Mramba, Yona
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jana ilipanda joto baada ya mawaziri wa zamani wawili Bw. Basil Mramba na Bw. Daniel Yona, kufikishwa hapo, wakituhumiwa kutumia vibaya madaraka yao wakiwa mawaziri
Read more...
Gray Mgonja Naye Kortini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, ambaye yuko katika likizo ya kustaafu, Grey Mgonja, jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka manane.


Serikali Yala Sahani Moja Na Richmond

Serikali imefungua uwanja mpya wa mapambano dhidi ya wabunge baada ya kutangaza wazi kwamba ina mpango wa kununua mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Dowans, uamuzi ambao unapingwa vikali na wawakilishi hao wa wananchi.


Pinda Acharukia Semina Mashangingi

Hatimaye, Serikali imesikia kilio cha muda mrefu cha walipa kodi juu ya matumizi makubwa yasiyo ya lazima serikalini katika ununuzi wa magari ya kifahari maarufu kwa jina la mashangingi na sasa ununuzi wake utapunguzwa kwa kiwango kikubwa.


URA Yaiadhibu Mtibwa Tusker

TIMU ya Mtibwa Sugar imeanza vibaya michuano ya Kombe la Tusker kwa kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mamlaka ya Mapato Uganda (URA).


Stars Yapokelewa Kishujaa Dar

Maelfu ya mashabiki wa soka wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza katika mitaa mbalimbali ili kuilaki timu ya taifa, Taifa Stars iliyorejea nchini kutoka Sudan baada ya kufanikiwa kukata tiketi ya kushiriki fainali za kwanza za Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN).


Latest Members Photos
Upload Photos to your Personal Album
 

Highslide JS
Frazzy
2009-01-06

Highslide JS
mteka
2009-01-06

Highslide JS
dude222
2009-01-06

Highslide JS
rajeymasterplan
2009-01-05

Upcoming Events
Miss East Africa - 07 February...
Hamburg - 07.02.2009 | 23.00
Register now to add your events!!

Your Comments
Latest Forum Entries
VIDEO:NJIA MPYA YA KUJIFUNGUA (KUZAA),&...
evarist 07-01-09 06:06
rais wa jamuhuri ya Tanzania
mdigo 02-01-09 11:16
VIDEO YA BINADAMU ALIYE NUSU MTU NUSU MMEA
evarist 28-12-08 23:30
Domain name, Website & Hosting service ...
wealthonline 28-12-08 20:55
Domain name, Website & Hosting service ...
wealthonline 28-12-08 20:32

Total Members
total 21943 registered
female 5431 female
male 16433 male
month 149 new this month
New: kidemu
Who's Online Now
We have 57 guests online and 7 members online
Audaxsb abbyzb2000 salompa shawty DOMOZEGE kelly31 chatwithmi
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com