SwahiliEnglish
            Lost Password?    Bofya hapa kujiunga
Salamu Mpya!
bhoke II:

tamu vipi



Kona ya Muziki




Advertisement
Sudoku
sifa's Profile
Personal URL: http://www.bongo5.com/sifa
Hits 4336
Online Status OFFLINE
Member Since 17/04/2008 16:06:12
Last Online 22/12/2008 17:18:45
Last Updated 22/12/2008 11:27:11
sifa
City: dar es salaam
Hometown: sinza
Country - Nchi: Tanzania
Gender - Jinsia: Female
Age - Umri: 18 to 23
Relationship Status: Not Looking
Drinker - Mnywaji?: No
Smoker - Mvutaji?: No
About Me :: Kuhusu Mimi: kawaida
I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na: wapenda maendeleo, NOT: sipendi kukutana na watu wapenda majungu.
Interests - Napenda: reading, watching tv, cooking, sleeping and travelling
My Photos & Videos

Only Registered Members Allowed to view the Photos in this Gallery!
Not a member yet? Click here to register now, its easy & free!




My Photo Albums

My Videos
Profile Visitors
The last 10 profile visitors
 
PhotoNameTime
   annakasuga  Date: 07-1-09 Time:12:51 
   flora  Date: 06-1-09 Time:19:25 
   sayuni  Date: 28-12-08 Time:07:33 
   vinho211  Date: 25-12-08 Time:13:17 
   DONIZ  Date: 24-12-08 Time:16:43 
   benmugashe  Date: 22-12-08 Time:14:52 
   MaryAnn  Date: 22-12-08 Time:11:22 
   mkulima  Date: 22-12-08 Time:01:54 
   lil miss P  Date: 20-12-08 Time:16:31 
   213RIZ  Date: 20-12-08 Time:03:27 
 
My Guestbook

Name Entry
annakasuga
Created On: 07/01/2009 12:59:18

hi mzima ww
koku anataka kuja kukuona ww shangazi yake
yaan kila siku ananisumbua tu ilikuwa aje xmass
ila simu yako ilikuwa haipatikani

DONIZ
Created On: 24/12/2008 16:43:46
Edited By DONIZ On: 24/12/2008 16:44:12


..sifa...merry..X..mass

benmugashe
Created On: 22/12/2008 14:53:43

Hata wewe ungenitenga kwenye kipindi kigumu?

Nisipitwe
Created On: 19/12/2008 19:28:01

Hello
Good Looking take care.

mikingamo
Created On: 19/12/2008 15:19:27

ulikuwa unamanianisha nini?lkn yote heri

debra
Created On: 19/12/2008 13:20:38

Mhhhh umesimama sana,kaa basi!

moody x
Created On: 18/12/2008 15:54:43

oooolaaaaa

my rachel
Created On: 17/12/2008 11:21:46

ha ha jirani ulijitahidi kuweka poz la kuua watu ha ha .....umependesa mwaya....

west cost Created On: 17/12/2008 10:52:10

naona mambo ya mguu pande mguu sawa kulia kati geuuka hahah pamoJAH wangu

Nisipitwe
Created On: 12/12/2008 16:44:54

Hello
Thanx take care too
gud day.

west cost Created On: 08/12/2008 11:03:29

daah!! lkn na ww dada yangu kila cku unachange mmh! haya ndio hivyo tena ni ndugu yangu lkn mmmh! punguza pamoJAH

Ngweno
Created On: 04/12/2008 18:25:16

ujumbe mzuri jiraani!

Lonely Shirima
Created On: 04/12/2008 17:56:42

duh mdogo wangu nakosa la kusema hapa kwanza asante kwa ujumbe wako mzuri sana na pia nasema asante kwa kupamba nyumba yako vyema sana na pia nikukaribisha nyumbani kwetu sakina arusha uje kuna zawadi zako kuan\zia tarehe 6 mpaka 10

benmugashe
Created On: 04/12/2008 12:32:47

thanx


my rachel
Created On: 02/12/2008 10:40:39

me nishapima nashangaa we bado upo upo jirani.......

<< Start < Prev [1] 2 3 4 5 6 7 8 9 ... 19 Next > End >>

My friends
OFFLINE oscarparison
OFFLINE Ngweno
OFFLINE mlavitu flan flan
OFFLINE fonser
OFFLINE miti
OFFLINE stella bady
OFFLINE benmugashe
OFFLINE automaticciera@aol.com
OFFLINE kayaman3
OFFLINE safari985
OFFLINE lion_wh
OFFLINE Lonely Shirima
OFFLINE woozgan
OFFLINE Ruge5
OFFLINE g_thedon
OFFLINE diamond
OFFLINE koolz
OFFLINE TOBOATOBO
 
<< Start < Prev [1] 2 Next > End >>
Bilicanas Kufunguliwa Rasmi Leo
Ladies and Gentlemen hayawi hayawi sasa yamekuwa!! Its now official club kongwe na maarufu nchini Tanzania Club Bilicanas leo itafungua milango wazi kuwakaribisha wapenda starehe jijini Dar-es-Salaam na Tanzania kwa ujumla
Soma Zaidi...
Mwana Fa Huyoo UK....tena
Msanii maarufu wa muziki wa kufoka foka Hamisi mwinyijuma ambaye anajulikana zaidi kama Mwanan FA yuko mbioni kuelekea nchini uingereza.
Soma Zaidi...
Chupa Za Maji Zahujumiwa
Hii ni pengine breaking newz kwa wale wote wanaopenda kununua maji njiani yaani yanayosambazwa na kuuzwa na wachuuzi wa maji katika barabara na mitaa ya jiji la Dar-es-Salaam
Soma Zaidi...
Sasa zamu ya Mramba, Yona
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jana ilipanda joto baada ya mawaziri wa zamani wawili Bw. Basil Mramba na Bw. Daniel Yona, kufikishwa hapo, wakituhumiwa kutumia vibaya madaraka yao wakiwa mawaziri
Soma Zaidi...
Gray Mgonja Naye Kortini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, ambaye yuko katika likizo ya kustaafu, Grey Mgonja, jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka manane.


Serikali Yala Sahani Moja Na Richmond

Serikali imefungua uwanja mpya wa mapambano dhidi ya wabunge baada ya kutangaza wazi kwamba ina mpango wa kununua mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Dowans, uamuzi ambao unapingwa vikali na wawakilishi hao wa wananchi.


Pinda Acharukia Semina Mashangingi

Hatimaye, Serikali imesikia kilio cha muda mrefu cha walipa kodi juu ya matumizi makubwa yasiyo ya lazima serikalini katika ununuzi wa magari ya kifahari maarufu kwa jina la mashangingi na sasa ununuzi wake utapunguzwa kwa kiwango kikubwa.


URA Yaiadhibu Mtibwa Tusker

TIMU ya Mtibwa Sugar imeanza vibaya michuano ya Kombe la Tusker kwa kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mamlaka ya Mapato Uganda (URA).


Stars Yapokelewa Kishujaa Dar

Maelfu ya mashabiki wa soka wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza katika mitaa mbalimbali ili kuilaki timu ya taifa, Taifa Stars iliyorejea nchini kutoka Sudan baada ya kufanikiwa kukata tiketi ya kushiriki fainali za kwanza za Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN).


Picha Mpya za WanaBongo5
Weka picha zako!
 

Highslide JS
Frazzy
2009-01-06

Highslide JS
mteka
2009-01-06

Highslide JS
dude222
2009-01-06

Highslide JS
rajeymasterplan
2009-01-05

Matukio Mapya
Miss East Africa - 07 February...
Hamburg - 07.02.2009 | 23.00
Jiunge kutangaza matukio yako!!

Your Comments
Mijadala
VIDEO:NJIA MPYA YA KUJIFUNGUA (KUZAA),&...
evarist 07-01-09 06:06
rais wa jamuhuri ya Tanzania
mdigo 02-01-09 11:16
VIDEO YA BINADAMU ALIYE NUSU MTU NUSU MMEA
evarist 28-12-08 23:30
Domain name, Website & Hosting service ...
wealthonline 28-12-08 20:55
Domain name, Website & Hosting service ...
wealthonline 28-12-08 20:32

Total Members
total 21939 wanachama
female 5430 female
male 16430 male
month 145 mwezi huu
Mpya: sirfrai
Who's Online Now
We have 77 guests online and 9 members online
newtonhero JustVisiting pollymagy Carmelo Njelemela Dume`s pitasoni mchizi kelly31 sassy booty
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com