Created On: 24/05/2008 13:33:29 Edited By vennyI On: 24/05/2008 13:36:32
nimepita kukujulia khali hamjambo .?????? hayo ni ya kawaida ,maisha ni sfr ndefu .Mungu atakusaidia
Created On: 15/05/2008 11:44:45 Hiiii!!! Mwambie atulie mambo mazuri hayataki haraka mbona wazuri na wenye macho mazuri wapo wengi tu!!!
Nimepita tu. Tchaoooooo!!!!!!