ThAnX
 |
Created On: 22/12/2008 23:41:06
Stoppin' by sayin' hello 
|
United States of America
 |
Created On: 09/12/2008 01:26:43
WWW.TUPENDANE.NET
|
puchiyz
 |
Created On: 01/12/2008 17:09:40
shuwari huko dada?
|
woozgan
 |
Created On: 28/11/2008 17:34:58
habari za leo ndugu.

|
DOMOZEGE
 |
Created On: 27/11/2008 10:46:17
mambe vipi?just glad to see that you have passed on ma hood
|
Carmelo
 |
Created On: 10/11/2008 14:50:13
kamwene dada??
|
mapozi
 |
Created On: 27/09/2008 15:56:26
Mama yangu hilo wanja limekoleaaaaaaaaaa
|
fmhowa
 |
Created On: 16/07/2008 11:52:59
Hi,Dada salama? nimepita kukusalimu, kila la heri na kazi njema,
salaam kwa wote,byeee
|
ludoking
 |
Created On: 29/06/2008 13:48:40
mbona hivyo wangu...sijakutia machoni kitambo. Nimeku miss sana mtu wangu.... Feedback from coolj2008: Nipo tu wangu, sema majukummu ndio mengi na hasa ukiwa mama au siyo wangu!? but i'm back now!!
|
fmhowa
 |
Created On: 13/06/2008 16:31:23
muu, Dada yaani hata hupiti hapa kuacha salaam, upo bussy sana nini
ok kaa saalama,byeee Feedback from coolj2008: kuhusu kupita tu wala usitie shaka nitapita siku yoyote kwani kwa sasa nipo busy sana kama ulivyobashiri
|
fmhowa
 |
Created On: 05/06/2008 17:18:20
muu, dada upo, mie nakufahamu na nakuona uso kwa macho hata kama wajificha,au wafichama wajamani
ok just passed to say Hi, na kaa salama
mie najua we upo tu tena wa kutosha,byee Feedback from coolj2008: nipo tena nimejaa tele zaidi ya pishi la ubwabwa sema wewe ndio naona hunioni
|
m4real
 |
Created On: 04/06/2008 01:07:31
mambo vipi!! ujue Iringa home(frelimo) poa keep in touch basi Feedback from coolj2008: okey, kama iringa ni home poa, ila uwe unakumbuka kurudi kusalimia kwenu maana nasikia toka umeondoka ni muda mrefu haujarudi
|
ludoking
 |
Created On: 13/04/2008 17:50:24
It's my great pleasure to be the second to sign ur book. Thanx for keeping in touch, I really appreciate. Karibu kwangu utie baraka Feedback from coolj2008: asante kwa kunikaribisha kwako, nadhani siku moja nitakaribia wala usitie shaka
|
kid
 |
Created On: 12/04/2008 15:06:19
kalibu maskani habali za huko Feedback from coolj2008: asante kwa kunikaribisha masikani na nimeshafika. habari za nitokako sio mbaya ni nzuri tu ila baridi inatuua kwa sasa nadhani hata wewe pia unaelewa hali ya hewa ya mikoa yetu
|