mapozi
 |
Created On: 23/10/2008 19:22:53
Salamu kwako
|
annakasuga
 |
Created On: 04/08/2008 13:47:13
habari za mlalo?
eh na hilo daftari na peni ni vyann
au ulikuwa unaandika ukasinzia?
|
marry
 |
Created On: 16/07/2008 16:24:29
mbona walala peke yako wifi yangu yupo wapi tena...mzima wewe
|
sweet_mum
 |
Created On: 09/06/2008 23:47:17 Edited By sweet_mum On: 09/06/2008 23:48:32
Mambo poa kaka sijui upande wako? asante sana kwa ujumbe nilikuwa sijui kama watu wa dubai wana rangi tofauti na wengine, lakini hata kama ndio hivyo nitabaki yule yule mimi, labda iwe ni hiyo rangi tu
|
sweet_mum
 |
Created On: 29/05/2008 14:27:35
yamekuwa yakuagana tena vipi? Naona kama sijakufahamu anyway asante lakini Tz ni nyumbani mie sikaribishwi..
|
| kanyanya |
Created On: 26/05/2008 15:48:48
sawa nakuona walala basi lala salama...hehe
take care
|
rachelptr
 |
Created On: 26/05/2008 15:24:49
Aiseee nilitka nikae ila naona bado umelala poa nitakuja siku nyingine wangu.
|
| crishna |
Created On: 26/05/2008 09:26:33
teh teh teh mi nlijua msaada luku?poa poa kaka!pamoja!
|
fmhowa
 |
Created On: 24/05/2008 22:55:09
muuu, ndugu nimekuona, ila muu unapenda kulala wewe, hata huchoki,
kaa salama
|
mack p
 |
Created On: 03/05/2008 21:58:52
mambo vip mbona unaniangusha watu wasinza atupendi kulala sana lol 
|
Meja
 |
Created On: 30/04/2008 23:33:05
mambo??? 
|