Created On: 24/10/2008 07:01:02 shikamoo.kaka...! Feedback from fmhowa: dada salama?
habari,mbona umepotea tena na kimyaaaaaa, au kitabu na kazi nyingi?
yote mema,
byeee
Created On: 19/10/2008 11:58:30 vipi bro..niaje wewe..mzima?..maisha yanasemaje?..asante sana kwa salamu..hamna maisha tu..tupo tupo tu..wish u gud day
xoxo Feedback from fmhowa: nashukuru sana kwa kupita na kuniachia salam,
mie nipo salaama na nakutakia maisha mema daima,
salaimia wote huko,
byee
Created On: 12/10/2008 04:07:32 Salama Bro, samaani kweli nilipita kimyaa bila kuacha hata salam. huyo dada alikua ni rafiki yake na mdogo wangu ambae aliniomba twende nae kwenye State Fair. Na ndio niko mzima wa afya kabisa. Asante kwa ujumbe wako, and have a good weekend.Feedback from fmhowa: nashukuru sana ndugu, hapa sasa kweli nimekuona umepita kwa kupita kweli,
ila mastate huko maisha vipi?
basi salimia wote tuliosomanao, nasikia wapo huko,
sijui wanikumbuka,
all the best ndugu just was saying
hiiii
Created On: 21/08/2008 00:17:27 Asante kwa kunipitia kaka...mie mzima sijui ww?
Kuondoka naondoka ila sio baru kama hao...hehe.. Feedback from fmhowa: asante sana dada yaani mie pia nashukuru kwa kunijari na kunipa big up, ila mbona wabaniia, hata hugeuki,
salimia wote, nami naondoka kwa kukuachia big up sana, byeeeeeeeee
tizzle
Created On: 17/08/2008 23:39:33 asante fam ...yh wote wazima vp hapo lkn
Created On: 05/08/2008 16:50:00 hiviumepotela wapi my brother!
ok pamojah! kama usa na iraq Feedback from fmhowa: Hi,Dada yangu nipo salma, Mungu asaidia naqpumua vema, ila siwajua huku ni summer so joto ni balaa, na jua lashangazi hadi usiku sa nne, basi nashukuru kwa kunikumbuka na kuwa na macho mangavu ya kuona kuwa kuna mtu kapotea hewani, nipo Dada, kaa salama na salimia wote hapo pa nyumba,
Hii, na yote mema,.byee
Created On: 30/07/2008 21:33:43 huku kaka mambo shwari tu na joto linapiga ile mbaya ila nadhani hapo ulipo wewe ndo kasheshe.... aina noma kaka tutachonga zaidi... peaceeee....1
Created On: 28/07/2008 15:39:41 ops jamani
yaan ugali ss ndo ratiba yetu ya kila siku
we njoo siku yoyote nitakuandaliaFeedback from fmhowa: ok nashukuru, na nitakusubiri kwa hamu,
vip maswala mengine ni salama huko?
salimia wanao wa pichani,
yaelekea wana akili hao, mwemweeeee