| About Me :: Kuhusu Mimi: |
Im a middle-aged gentleman looking for a beautiful,understanding lady of any tribe,race aged between 25 and 40 years for a long term relationship. |
| I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na: |
Na mtoto wa kike anayejiheshimu,mwenye kujua kupata na kukosa, mvumilivu,mwenye upendo wa dhati aliye na umri kati ya miaka 25 na 40 aliye tayari kutulia na mwanaume mwenye umri kama wangu. |
| Interests - Napenda: |
Kuangalia mpira wa miguu,kutalii sehemu mbalimbali,kujifunza lugha mbalimbali na ku-chat kwenye internet |