Na kila mtz mwenye mtazamo chanya kuhusu maisha ,hasa wale wenye mapenzi mema kwa kila mtu .bila kubagua rangi wala kabila , wasiojivuna,waongo,na wapenda majungu.
kusoma magazine na kuchati na watu wa kila aina mbalimbali wenye mapenzi mema. kubadilishana mawazo ili kuleta mafanikio kwa maisha ya baadae.
Created On: 21/07/2008 06:16:09 mimi sijambo dear nafurahi kukuona kila siku kwangu na mimi nimeona nije nikusalimie ile nimekuja nikaambiwa umetoka out nananihiii ila nitarudi tena baadaye
Created On: 04/07/2008 00:31:06 Ndio weye mambo vipi? asante kwa kuntembelea dada angu karibu tena na tena na tena bila kuchoka........
prince J
Created On: 02/07/2008 06:26:18 swadakta mama mwenye nyumba bila wewe mie upweke balaa.nakumiss kama maziwa ya kuku
prince J
Created On: 30/06/2008 07:11:37 watoto wanamuulizia mamayao hawamuoni.nawaambia umesafiri.niambie utarudi line nyumbani mama watoto.mama mwenye nyumba tunateseka huku wenzio!!