GAUCHO
 |
Created On: 18/11/2009 18:53:15
mambo vp?mbona kimya au liverfool lol pole oops samahani,kama vp liverfool msimu huu wanatakiwa waende rehab kama vp ni ushauri tu au wewe unaonaje? Feedback from sezero: haya bwana najua 2mefulia
|
Suki
 |
Created On: 26/08/2009 17:14:52
Good to hear that you are back..Doing good how about yourself
|
Dezzy
 |
Created On: 08/08/2009 14:16:02
SuuP Broooooo.....!!!!?????  Feedback from sezero: oooohh sorry i was off, but rogy is back
|
annakasuga
 |
Created On: 05/06/2009 06:18:56
naona pozi laaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaini
|
stone1986
 |
Created On: 06/05/2009 08:17:31
mzuka saaana baaabu!!!hua nakumbuka ishu kibao sana nikikuona humu bongo five,nani mwingine namjua uninganishe nae!!!
mpe sana hi kaka victor i hope hua unaonana nae
|
GAUCHO
 |
Created On: 16/04/2009 04:28:46 Edited By GAUCHO On: 16/04/2009 04:29:54
pole,kuongea rahisi(talk is cheap) na dua la kuku halimpati mwewe,mmebaki watazamaji sasa,wanaoijua man huwa hawatabiri wanakaa kimya mpk filimbi ya mwisho,poleni sana sijui mtabeba kombe gani sasa mwaka huu teh teh teh,amia man utd kadi za uanachama bado zipo yani rekodi kibao tumeweka,timu ya kwanza england kumfunga porto,unbeaten mechi 23 uefa,fergie kawa meneja wa kwanza dunia kucheza nusu final mara 6,basi ngoja niishie hapo zitazidi tu rekodi hahahaha naskia unashabikia everton sasa ktk fa cup 
|
GAUCHO
 |
Created On: 15/04/2009 01:57:24
haya najua kocha wenu kawafundisha udomokaya siku hizi,mana alidai liva timu bora ya dunia,haya mwenzio tayari na kombe la klabu bingwa dunia na carling cup,premier nalo fa pia na hata uefa ngoja tusiandikie mate tusubiri,wewe mwenzangu unaeita nyie wanaume au ka kocha wenu anavyosema timu bora ya dunia mpaka sasa hivi kabatini kwako peupe na msimu wa 3 mfululizo hauna kombe inaelekea au tuwaachia la premier nini,ila poleni sana yani mlikuwa mnaongoza ligi lakini sasa mpo nyuma inakuwa kama ladies first teh teh teh 
|
stone1986
 |
Created On: 06/04/2009 08:14:43
we sezero nimekusoam leo,
jiunge web yangu www.jichanganye.tk mi natumia LKM02 siku hizi siyo St-1inc tena nimefurahi san kukuona hapa
|
Suki
 |
Created On: 23/03/2009 20:37:32
Na wewe pia uko juu kaka sezero mambo vipiiii???
|
amachris
 |
Created On: 20/03/2009 11:44:50
poa kaka nimekubali kipigo 4-1 home simchezo, liverpool nikama preasure mara inapanda mara inashuka ila
manutd tuna feature, tuna forcus kwenye trophy's
|
GAUCHO
 |
Created On: 19/03/2009 04:33:10
poa babu,naona kocha kawa domokaya baada ya kushinda j1 maana ni toka 1930 kushinda ushindi mkubwa old trafford hadi anadai wao ni bora duniani na watatwaa kombe la ligi kuu uingereza hahaha haya tuone na akitoka kapa sijui hataweka wapi uso wake.
|
kelly31
 |
Created On: 17/03/2009 11:42:48
mambo poa asante for stopping by my profile take care 
|
Ngweno
 |
Created On: 17/03/2009 08:29:47
ngoja tuone maana soka haina adabu hata kidogo unaweza kukuta 'arsenal' wana libeba kombe? mmmh waringe
|
kups
 |
Created On: 16/03/2009 09:04:38
mambo mzuka kaka.shemeji yako ukopoa kabisa.sijui wakwako.
|
Ngweno
 |
Created On: 16/03/2009 08:20:39 Edited By Ngweno On: 16/03/2009 08:28:25
nimekubali kaka, maana hata mimi kilicho 2pata wala c kitambui, hongera sana lakini mnafurahi kuifunga man u kombe je mtachukua?
|