What can I say, I am the Administrator, also the creator of Bongo5. It has taken a lot of jasho and hard work to get it on it's feet, lakini it is worth every bit of it. Karibu sana, and feel free to contact me any time.
Interests - Napenda:
Bongo5.com!
My Photos & Videos
Only Registered Members Allowed to view the Photos in this Gallery! Not a member yet? Click here to register now, its easy & free!
My Photo Albums
Wanab5 ndani ya Cine Club Baadhi ya wadau wa bongo5 walipokutana mitaa ya Cine Club jijini Dar es Salaam ili kufahamiana vizuri zaidi..ilikuwa mzuka ile mbaya!
Created On: 25/07/2008 16:56:00 Habari ndugu, hongera kwa kufanikisha kutatua matatizo ya B5 naona sasa mambo yamekaa safi na umekuja na styl mpya, hongera ndugu.
Dr grmavura
jacinta njambi
Created On: 24/07/2008 21:54:17 hi mambo.
jacinta njambi
Created On: 23/07/2008 17:49:17 oooh too bad,nwaz mimi niko tu poa.huyo ni mtoto wa siz yangu. laterz.
Created On: 11/07/2008 22:02:43 sawasawa kaka nashukuru kwa kunitembelea japo najua uko very bize, lakini angalau namna hiyo ndio fresh au sio. ntakusikilizia lile suala langu la chart room. thanks
Created On: 10/07/2008 11:48:47 hey broo napita tu
niaje lakin ya daughter is so cute ,you must be very lucky to have an angel like that
anyway good luck and enjoy life
eminelly
Created On: 22/06/2008 15:06:18 hi bro!!!!nimeamua kukupa japo hi/thanks kwa kuniletea marafiki.am sure welcome note yako ilikuwa na baraka maana ndo ulikuwa wa kwanza kunikaribisha.
b blessed bro
hv a great tym
Celyn
Created On: 08/06/2008 14:23:27 !Holla! Pole na kazi bro..
Hv a nyc tym!!!!
Celyn
Created On: 08/06/2008 14:17:51 !Holla! Nilipita hapa bro......!!!!!!Na2maini muwaziwa wote huko!