ni mtoto mcheshi mno na nipendae ku smile na kufurahi na kila mtu,napenda sana utani.napenda Amani
I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na:
sina ubaguzi,napenda kukutana na kila mtu,kikubwa ni kuelewana tu lugha tu.tukiwa na kamusi zetu tutaongea vizuri tu.lugha zote za Asia naenda nazo vizuri ingawa sio sana,bado ninajifunza.unaweza kuwasiliana nami bila wasiwasi.ningetamani kukutana na akina nyerere,Babu Mandiba Mandela na wengine wote walioleta historia Duniani.usi mind hata wewe pia!
Interests - Napenda:
kuangalia cartoons hasa tommy and jerry,Basketball hasa NBA kupiga pamba kama akina P.DIDDY,lil bow wow,na wengine wengi kama hao,kuangalia kinachoendelea dunia ya kwanza,pia kuwa mcheshi kwa wote.kikubwa kuliko yote sana sana kusikiliza Quran na kusikiliza mawaidha ya dini kutoka http://www.alhidaaya.com/swahili/ hasa napenda kumsikiliza Hani Ar-Rifai akisoma Quran na napenda kumsikiliza sana UTHMAAN MA'ALIM anapotoa mawaida.
My Photos & Videos
Only Registered Members Allowed to view the Photos in this Gallery! Not a member yet? Click here to register now, its easy & free!
Created On: 20/03/2008 14:26:49 dah!hata mm nakufananisha kgd na muheshimiwa mmoja hv huko kwetu kwa manyanya si mwingine ni mh JAKAYA hahaaa sijui nimebahatisha?long tym sijatembelea njia hii bt wote wazima hofu kwako.
Created On: 28/02/2008 17:30:49 hey brotherman-
cku nyingi kaka upepotea nini balaa huko??
m hopin u're doin gouod don't ya??
tears
Created On: 24/02/2008 20:32:45 Edited By tears On: 24/02/2008 20:33:24 email ya mdogo wangu ni hapana.sinaemail.mi badomgo. nisulbili niwemkubwa!!!!!!
Created On: 11/02/2008 12:49:22 thanxs 4visiting my profile i will try 2attatch some of my snap n place it there in my profile,anyway thaxs 4everthings u said,Hope ure very kind 2,have a gudday n see u later
Ladies and Gentlemen hayawi hayawi sasa yamekuwa!! Its now official
club kongwe na maarufu nchini Tanzania Club Bilicanas leo itafungua milango wazi kuwakaribisha wapenda starehe
jijini Dar-es-Salaam na Tanzania kwa ujumla
Read more...
Hii ni pengine breaking newz kwa wale wote wanaopenda kununua maji
njiani yaani yanayosambazwa na kuuzwa na wachuuzi wa maji katika
barabara na mitaa ya jiji la Dar-es-Salaam
Read more...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jana ilipanda joto baada ya mawaziri wa zamani wawili Bw. Basil Mramba na Bw. Daniel Yona, kufikishwa hapo, wakituhumiwa kutumia vibaya madaraka yao wakiwa mawaziri
Read more...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, ambaye yuko katika likizo ya kustaafu, Grey Mgonja, jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka manane.
Serikali imefungua uwanja mpya wa mapambano dhidi ya wabunge baada ya kutangaza wazi kwamba ina mpango wa kununua mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Dowans, uamuzi ambao unapingwa vikali na wawakilishi hao wa wananchi.
Hatimaye, Serikali imesikia kilio cha muda mrefu cha walipa kodi juu ya matumizi makubwa yasiyo ya lazima serikalini katika ununuzi wa magari ya kifahari maarufu kwa jina la mashangingi na sasa ununuzi wake utapunguzwa kwa kiwango kikubwa.
Maelfu ya mashabiki wa soka wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza katika mitaa mbalimbali ili kuilaki timu ya taifa, Taifa Stars iliyorejea nchini kutoka Sudan baada ya kufanikiwa kukata tiketi ya kushiriki fainali za kwanza za Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN).
CPWAA - PWAA Part II
- kaka unajitahidi sana ka...
By: Ngweno
Bushoke - Dunia Njia
- mzee wewe kichwa asiyeku...
By: Ngweno
Bilicanas Kufunguliwa Rasmi Le...
- procurement and accounting ...
By: mlavitu flan flan
Bado Nipo Nipo - Mwana FA
- hoo no noma - :woohoo: nime...
By: manramzo
Fid Q ft AY & Ncha Kali - Shim...
- Mazee Hiyo imesimama Shi...
By: Gonabis
Fid Q ft AY & Ncha Kali - Shim...
- Eng by prof - shi...shi.....
By: fademark
Fid Q ft AY & Ncha Kali - Shim...
- ACHENI USHAMBA-MABINGWA WA&...
By: Gonabis
Black Rhyno - Vaa Tutoke
- sijui nikuambie nini ilike ...
By: mpeter
Moto Unawaka - Klex
- :huh: jamani mm naona mmeim...
By: mpeter
Flaviana crowned Miss Universe...
- hi hamjambo ndugu zangu wte...
By: pesa2