SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register
Latest Shout-Out!
spender:

NATAFUTA WANAFUNZI WENZANGUTULIO MALIZA NAO MZUMBE SECONDARY SCHOOL MWAKA 2000,NAOMBA TUWASILIANE,



Music Corner




Advertisement
Sudoku
kimbory's Profile
Personal URL: http://www.bongo5.com/kimbory
Hits 2984
Online Status OFFLINE
Member Since 19/05/2006 09:53:08
Last Online 25/07/2007 09:35:22
Last Updated 04/07/2007 16:51:47
kimbory
City: Midpoint of Tanzania
Hometown: Kili Shant Town Near 2 CCP
Country - Nchi: Tanzania
Gender - Jinsia: Female
Age - Umri: 24 to 29
Relationship Status: Single
Drinker - Mnywaji?: Yes
Smoker - Mvutaji?: No
About Me :: Kuhusu Mimi: Really Mchagga
I'd Like to Meet - Ningependa kukutana na: U and others if u don't mind
Interests - Napenda: chatting,make love
My Photos & Videos

Only Registered Members Allowed to view the Photos in this Gallery!
Not a member yet? Click here to register now, its easy & free!




My Photo Albums

My Videos
Profile Visitors
The last 10 profile visitors
 
PhotoNameTime
   ireland  Date: 04-1-09 Time:19:53 
   SEXONTHEBEACH  Date: 28-5-08 Time:20:49 
   Chururu  Date: 15-4-08 Time:05:38 
   smz123456789  Date: 21-3-08 Time:15:25 
   Kakayetu  Date: 16-3-08 Time:10:38 
   kidoncha  Date: 09-10-07 Time:18:05 
   said salehe  Date: 02-10-07 Time:02:05 
   jmunwigili  Date: 13-8-07 Time:13:43 
   jklyn  Date: 24-7-07 Time:18:08 
   tatu  Date: 24-7-07 Time:16:57 
 
My Guestbook

Name Entry
hanna Created On: 16/03/2008 00:40:49

hallow!

said salehe
Created On: 02/10/2007 02:06:59

mambo vp?leta story!!sana2!!

tatu
Created On: 18/07/2007 16:41:44

Wifi kamwene
sa filo
muhungilage
kaaka


annakasuga
Created On: 27/06/2007 19:55:15

vp dadaangu naona kimya
kulikoni au umebanwa na shem nn
ok cku njema

zaynee
Created On: 24/06/2007 15:21:55

ooooh hivyo ni malovelee ndo yanakutenda ivyo eeh....mi nalia nimeachwa solemba na kipenzi changu cha moyo iiiihhhiiiiii

advicer
Created On: 23/06/2007 14:49:41

kwa kweli mambo sio mchezo

LilSunG
Created On: 23/06/2007 11:52:01

ohhh asante sis nwyz usijali ngoja niende dukani alafu ntakushtua!!!angalau kwa dkk chache!!! luvv u

zaynee
Created On: 22/06/2007 20:45:35

mmmh haya huo ulimi umepatwa na nini...vp maskani baridi au kuna vipima joto mule...mic ya!


Tamu
Created On: 22/06/2007 13:05:58

shimbonyi shafo mkekuu!

yaani wifi hata sijui nisemeje mie. naomba tu wifi kama unaweza upite mara moja nina neno na wewe.

niletee na zabibu maana nimezimiss jamani wifi

nakupenda wifi yangu

LilSunG
Created On: 22/06/2007 00:16:48

eti sis...ulipata????mmmh ka hujapata bassi tena nakwambia basi nna gundu!!! ila ntaazima ya mtu nikushtue sis.... luvv uuuuuuuu

binti Ceaser Created On: 21/06/2007 22:53:14

haijatulia mpenzi, ila itatulia naimani.

hali gani ulonayo mpenzi.



shekar Created On: 21/06/2007 14:04:58

ujatulia

J.zee
Created On: 20/06/2007 16:33:18

yaani nazidi kukupa shukrani za dhati mwana wa kibongo,aikambeeee!

Heartbreaker
Created On: 20/06/2007 16:16:32
Edited By Heartbreaker On: 20/06/2007 16:16:59


Mbona huoneshei kama unaishi mitaa ya uswahili wewe.


Oyiii
Created On: 20/06/2007 14:20:24


Nimeipenda sana profile yako mamaa wa kichaga, ngoja naja huko huko ShanT Twn

<< Start < Prev [1] 2 3 4 5 Next > End >>

My friends
OFFLINE Lonely Shirima
OFFLINE Tamu
OFFLINE jmunwigili
OFFLINE micheal
OFFLINE ben
OFFLINE LilSunG
OFFLINE Mwanakijiji
 
Bilicanas Kufunguliwa Rasmi Leo
Ladies and Gentlemen hayawi hayawi sasa yamekuwa!! Its now official club kongwe na maarufu nchini Tanzania Club Bilicanas leo itafungua milango wazi kuwakaribisha wapenda starehe jijini Dar-es-Salaam na Tanzania kwa ujumla
Read more...
Mwana Fa Huyoo UK....tena
Msanii maarufu wa muziki wa kufoka foka Hamisi mwinyijuma ambaye anajulikana zaidi kama Mwanan FA yuko mbioni kuelekea nchini uingereza.
Read more...
Chupa Za Maji Zahujumiwa
Hii ni pengine breaking newz kwa wale wote wanaopenda kununua maji njiani yaani yanayosambazwa na kuuzwa na wachuuzi wa maji katika barabara na mitaa ya jiji la Dar-es-Salaam
Read more...
Sasa zamu ya Mramba, Yona
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jana ilipanda joto baada ya mawaziri wa zamani wawili Bw. Basil Mramba na Bw. Daniel Yona, kufikishwa hapo, wakituhumiwa kutumia vibaya madaraka yao wakiwa mawaziri
Read more...
Gray Mgonja Naye Kortini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, ambaye yuko katika likizo ya kustaafu, Grey Mgonja, jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka manane.


Serikali Yala Sahani Moja Na Richmond

Serikali imefungua uwanja mpya wa mapambano dhidi ya wabunge baada ya kutangaza wazi kwamba ina mpango wa kununua mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Dowans, uamuzi ambao unapingwa vikali na wawakilishi hao wa wananchi.


Pinda Acharukia Semina Mashangingi

Hatimaye, Serikali imesikia kilio cha muda mrefu cha walipa kodi juu ya matumizi makubwa yasiyo ya lazima serikalini katika ununuzi wa magari ya kifahari maarufu kwa jina la mashangingi na sasa ununuzi wake utapunguzwa kwa kiwango kikubwa.


URA Yaiadhibu Mtibwa Tusker

TIMU ya Mtibwa Sugar imeanza vibaya michuano ya Kombe la Tusker kwa kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mamlaka ya Mapato Uganda (URA).


Stars Yapokelewa Kishujaa Dar

Maelfu ya mashabiki wa soka wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza katika mitaa mbalimbali ili kuilaki timu ya taifa, Taifa Stars iliyorejea nchini kutoka Sudan baada ya kufanikiwa kukata tiketi ya kushiriki fainali za kwanza za Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN).


Latest Members Photos
Upload Photos to your Personal Album
 

Highslide JS
Frazzy
2009-01-06

Highslide JS
mteka
2009-01-06

Highslide JS
dude222
2009-01-06

Highslide JS
rajeymasterplan
2009-01-05

Upcoming Events
Miss East Africa - 07 February...
Hamburg - 07.02.2009 | 23.00
Register now to add your events!!

Your Comments
Latest Forum Entries
VIDEO:NJIA MPYA YA KUJIFUNGUA (KUZAA),&...
evarist 07-01-09 06:06
rais wa jamuhuri ya Tanzania
mdigo 02-01-09 11:16
VIDEO YA BINADAMU ALIYE NUSU MTU NUSU MMEA
evarist 28-12-08 23:30
Domain name, Website & Hosting service ...
wealthonline 28-12-08 20:55
Domain name, Website & Hosting service ...
wealthonline 28-12-08 20:32

Total Members
total 21950 registered
female 5432 female
male 16439 male
month 156 new this month
New: girls food
Who's Online Now
We have 30 guests online and 7 members online
mwatumu ireland midofabregas FESKAM kelly31 Ah! Shemeji! chriss21
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com