Created On: 19/11/2008 16:11:41 my kaka huku vitu vinavyonunulika zaidi sijui niseme nini kila kitu kinanunulika si unajua kila kitu kinategemeana? Moko luv!!
Created On: 19/11/2008 15:12:10 hapana kaka si unajua ubize wangu na juzi kati nikaona unadip zaidi ya kubeep ila ok usijali wangu pamoja amani na upendo ndio nguzo pekee.