Username
Password
Remember me
Lost Password?
Click here to register
Home
Friends
News
Events
Photos
Music
Videos
Forum
Games
Chat
Results 271 - 300 of 2005
"Bado mimi na Saidi Fellah" - King Kiboya
Anayejulikana kama Meneja wa kundi la Wanaume Halisi bwana King Kiboya kwa jazba kubwa sana baada ya kuona vijana wake wanakamua ile mbaya alibahatika kukutana na mwandishi wa Mtandao huu na kumtaka aweke wazi kwa wasomaji...
Haya sasa 50 Cent ndani ya Bongo!!
Wiki iliyopita tuliandika juu ya ujio wa wasanii maarufu duniani wa kundi la G-Unit nchini Afrika Kusini ambapo zilizuka hoja nyingi zilizokuwa zimedai kuwa ujio huo kwa Tanzania bado ni ndoto...
Wabunge wahoji baada ya Rostam kutoswa
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, wamehoji sababu za Mbunge wa Igunga, Bw. Rostam Aziz, kutopewa fursa ya kujieleza kuhusiana na tuhuma zinazomkabili kwa mujibu wa Kamati Teule ya Bunge
35% ya wanaume hupigwa Na wake zao
Spika wa Bunge, Bwana Samuel Sitta amewaacha hoi waheshimiwa wabunge alipotoa taarifa ya utafiti kuhusu wanaume wanaopigwa na wake zao huko majumbani kwao
Mwanasheria amtolea uvivu Waziri Mkuu
"Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imetakiwa kuwachukulia hatua kali za kisheria watuhumiwa wa ufisadi wa mabilioni ya shilingi katika Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA)"- Tundu Lissu
Mwizi wa kazi za wasanii akamatwa
Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) kikishirikiana na jeshi la polisi hivi kaibuni wamemkamata mtuhumiwa mmoja aliykeuwa akijishughulisha na kutengeneza mikanda na CD bandia zenye kazi za wasanii wa muziki hapa nchini
`Wanaoua` maalbino wanaswa
Wakati watu 172 wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji kutokana na imani za kishirikina, hususani albino, wakiwemo waganga wa jadi 71 wametiwa mbaroni
Atoa ushuhuda wa mauaji ya Rwanda
MSEMAJI wa Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Rwanda (ICTR), Roland Amoussouga jana aliwahuzunisha waandishi wa habari baada ya kuelezea alivyoshuhudia maiti za watu waliouawa nchini Rwanda wakati wa mauaji ya kimbari
Rest In Peace Mwajuma
Kama itakumbukwa mnamo tarehe 2/4 wanafamilia wa bongo5 walipoteza moja wa wanachama wao aliyefariki huko Leeds nchini Uingereza, taratibu za kuusafirisha mwili wa marehemu kutoka uingereza zimefanyika kwa ushirikiano wa ndugu na jamaa wa marehemu
Tatiana wa Big Brother Kushuka nchini
Yule mshindi wa wa pili wa shindano la Big Brother Afrika 2,Tatiana Durao wa Angola anatarajia kushuka nchini Aprili 22 katika ziara fupi itakayoambatana na maonesho mbalimbali ya mavazi na urembo
Aina mpya ya madawa ya kulevya yakamatwa
Ni mwezi mmoja tangu Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Mbeya kuwaachia huru watuhumiwa 11 wa usafirishaji wa dawa za kulevya kupitia tumbo la marehemu Kombo Siriri, Jeshi la Polisi Mbeya limekamata aina mpya ya dawa hizo
Biilioni 5 kwa atakayefichua wauaji wa kimbari
Balozi Maluum wa Marekani (Uhalifu wa Kivita), Clint Williamson ameahidi na kusisitiza kuwa ile kutoa tuzo ya dola milioni 5 za Marekani (sawa na zaidi ya Sh 5 bilioni za Tanzania) iko pale pale kwa watakaotoa taarifa
Marekani, Uingereza zawaonya Kibaki, Raila
MAREKANI na Uingereza, zimewaonya Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu Mtarajiwa Raila Odinga na kuwataka kumaliza tofauti zao kwa haraka na kutangaza Baraza la Mawaziri.
Wawakilishi wa Pop Idol watupwa kambini
Michuano ya kumtafuta Pop Idol ambayo inawahusisha washiriki wanne kati ya 1000 waliojitokeza kuwania tiketi ya kwenda jiji Nairobi kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania, wamefanikiwa kupata nafasi hiyo na mpaka sasa wako katika maandalizi
Dume lenye Mimba
Unaweza kusema hii ni kali kati ya kali ambazo zimewahi kujiytokeza ulimwenguni, ambapo mwanaume aliyepata ujauzito hivi karibuni ameamua kujiweka hadharani kwa kuitangazia dunia kuhusiana na jinsi ameizoea hali yake hiyo
Mahabusu wazua mgomo gerezani
Mahabusu wa Gereza la Keko, jijini Dar es Salaam, jana waligoma kula chakula kwa madai kwamba chakula wanacholishwa ni kibovu kupitilia
Kumbe Richmond ni ya Ukweli!?
Kampuni ya Richmond Development ambayo ilipewa dhamana ya kuagiza mitambo ya kuzalisha umeme wa dharura na shirika la umeme Tanesco hivi karibuni imesema hawahusiki na haikuwahi kupokea fedha yoyote kutoka serikalini
Magari 8 yagongana, matatu yamfunika muuza magazeti
Kijana mmoja muuza magazeti amekufa papo hapo baada ya kufunikwa na magari zaidi ya matatu kati ya nane yaliyopata ajali baada ya Fuso kukatika breki, tukio hilo lilitokea jana jijini Dar es Salaam maeneo ya Ubungo
Mafisadi wamtesa Sitta
JINAMIZI la tuhuma za ufisadi zilizosambazwa katika mtandao wa intaneti zikimlenga Spika wa Bunge, Samuel Sitta, sasa zinaonekana kuvuka mpaka na kuanza kuigusa na kuisumbua familia yake
Majambazi wateka kijiji, wapora maduka 20
KUNDI la majambazi wenye bunduki mbili aina ya SMG, mashoka, mapanga na marungu, wameteka kijiji cha Kangeme kata ya Ulowa wilayani Kahama na kupora maduka zaidi ya 20 huku wakiimba nyimbo za kumsifu Rais George Bush
Umoja wa Mataifa aitaka Zimbabwe itangaze haraka matokeo ya uchaguzi
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-moon tarehe 7 alitoa taarifa ikieleza kufuatilia kutotangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa urais baada ya uchaguzi wa urais wa Zimbabwe kufanyika siku 9 zilizopita
T-Respect yafanya mapinduzi
Mkurugenzi wa bendi ya TOT, maarufu sasa kama T-Respect, Kapteni mstaafu John Komba, amesema kwamba wamefanya mapinduzi ya hali ya juu, hivyo wapinzani wao wakae chonjo kwani wanakuja na ‘spidi’ kali
CUF yamtega Kikwete
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kutekeleza moja kati ya mambo mawili, kama masharti ya kutaka kurejesha imani ya chama hicho kwake
Pinda amaliza mgomo wa TRL
SERIKALI imeingilia kati na kumaliza mgogoro kati ya wafanyakazi na wawekezaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) kwa kuamua kubeba mzigo wa kulipa mishahara ya miezi mitano ambayo itagharimu sh. bilioni 3.6
Meli yazama Bahari ya Hindi
MELI isiyofahamika iliyokuwa na abiria na wafanyakazi 14, imezama katika Bahari ya Hindi mwishoni mwa wiki.
Wanandoa wapigwa mawe hadi kufa
Wanandoa wameuawa kikatili kwa kupigwa mawe na kuchapwa viboko hadi kufa huku wakiwa wamefungwa kamba na wananchi wilayani Karagwe mkoani Kagera
Askari kulipa nauli Dar, wanafunzi wapandishiwa nauli hadi Sh100
CHAMA cha Wamiliki wa Magari ya Abiria Mkoa wa Dar es Salaam (DARCOBOA), kimesema kinakamilisha taratibu za kuwatoza nauli askari wa majeshi yote nchini na kuongeza nauli ya wanafunzi kufikia Sh 100
Chris Brown na Rihanna wako pamoja?
Inasemekana msanii Nyota wa muziki Rihanna kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na msanii Chris Brown, jambo ambalo wote kwa pamoja wamekuwa wakilikanusha vikali huku wakidai wao ni marafiki tu
Msiba Reading, Uingereza
Jumuiya Ya Watanzania Uingereza inasikitika kutangaza kifo cha mwanajumuiya wa Kitanzania Bi. Mwajuma Ibrahim Seif, kilichotokea jana katika hospitali ya Royal Berkshire Hospital, Reading
Siri ya CCM Butiama
MUASISI wa hoja ya kuurejesha muafaka wa kisiasa visiwani kwa wananchi, kwa njia ya kupigwa kura ya maoni, ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Amani Abeid Karume, imefahamika
<< Start
< Prev
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
Next >
End >>
[ Back ]
Top
Powered by
AlphaContent
Bongo5.com
© 2005-2008 - All rights reserved
Total Members
19348 registered
4821 female
14445 male
666 new this month
New:
KITOJO
Who's Online Now
We have 36 guests online and 11 members online
Marc
my rachel
halfa k
nyaksy
BUDDY
Rashid10
sifa
Elmi
faddymbongo
Thabit
tudes
Total of members in the chatroom:
Home
|
Search
|
Contact Us
|
Sitemap
2006-2007 © Copyright Bongo5.com