Username
Password
Remember me
Lost Password?
Click here to register
Home
Friends
News
Events
Photos
Music
Videos
Forum
Games
Chat
Results 1921 - 1950 of 2005
Tanzanians poised to win Mumbai Marathon titles
Four Tanzanians athletes arrived here yesterday with high hopes of winning the Standard Chartered Mumbai Marathon titles tomorrow.
Mashindano ya vijana kuanza leo
MASHINDANO ya mpira wa miguu ya Copa Coca-Cola yanatarajiwa kuanza leo katika viwanja tofauti vya kanda kwa kushirikisha timu za ngazi ya wilaya.
Santos bado kitendawili Simba
KUREJEA kwa Kocha Mkuu wa timu ya Simba, Mbrazil Neider dos Santos, kumebaki kitendawili, kwani licha ya kuelezwa angerejea Januari 15, hadi sasa hakuna jibu sahihi.
TMK Wanaume kuzindua Kazi Ipo leo
KUNDI la muziki wa kizazi kipya la TMK Wanaume au Wanaume Family lenye maskani yake Temeke, Dar es Salaam, leo litatambulisha wimbo wake mpya uitwao Kazi Ipo. [Listen to the track here]
Madinda kuingia School
Msichana anayeaminika kuwa na mvuto kuliko mabinti wengi tu hapa jijini na anayesifika kwa kuyakata masebene kwa umahiri wa hali ya juu bi Aisha Madinda, hivi karibuni amefikia uamuzi wa kwenda shule kwa ajili ya kujipatia ujuzi wa ziada..
From Russia wit Luv
Msanii Lady jay Dee ameweka historia kwa kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika mashariki na kati kwenda kufanya Show nchini Urusi katika mji wa Moscow, ilikuwa ni kwenye mwaliko maalum ulioandaliwa na ubalozi wa Tanzania nchini humo..
Prof ni Prof na Rhyno ni Rhyno
‘Unajua kama ni kupata mafanikio katika muziki kupitia mgongo wa Kaka yangu naamini ningekuwa mbali sana, lakini kusema ukweli hakuna msaada ninanoupata, kila ninachokifanya kwenye sanaa ni kwa jitihada zangu binafsi'-Black Rhyno.
Bushoke atimkia Bondeni
Mh!? hii nayo kali, msanii Bushoke amekimbilia nchini Afrika Kusini baada ya kuona hakieleweki kuhusu albam yake ambayo ameikamilisha na kuifikisha ubaoni kwa wadosi ambao walishindwa kufikia muafaka katika suala la mkwanja.
Bongo Fleva ni kama Siasa tu
Si mashabiki wote wanaofahamu kuhusiana na mwanahipho Joh Makini anakotokea na sababu zipi zinazomfanya akomae kwa kunadi mkoa anaotokea katika kila tungo zake.
Project Fame - Save our Stars!
TANZANIA 'S Tina Korosso and Nakaaya Sumari have been put under probation alongside two other contenstants as the Vodacom Tusker Project Fame reality television show enters its fourth week.
TMK Wanaume wasambaratika
KUNDI la muziki wa kizazi kipya la TMK Wanaume au Wanaume Family lenye maskani yake Temeke, Dar es Salaam limesambaratika. Kutokana na hali hiyo unaweza kuchagua neno la kutumia kuhusu hali ilivyo ndani ya kundi hilo.
Wa Project Fame kuondoka leo
WAWAKILISHI wanne wa Tanzania katika shindano la Vodacom Tusker Project Fame, wanatarajiwa kuondoka leo kwenda Nairobi, Kenya kwa ajili ya maandalizi ya shindano hilo litakalowahusisha pia washiriki kutoka nchi za Uganda na Kenya.
"Usiulize" Rado akidiss wasanii wenzake
Msanii Rado ambaye hapo miaka ya nyuma aliwahi kutamba na singo yake ‘hukumu ya ndotoni' hivi sasa ametoka na singo yake mpya ambayo ndani yake amewadiss wasanii kama Fid Q na Kundi zima la East Coast inayokwenda kwa jina la ‘usiulize...
|
Read more...
Mchizi Mox aleta "Mikasika"
“Najua kitu wanachopenda watu wangu na hivi ndio sababu zilizopelekea nisisite kuachia jiwe langu ‘mikasika” ni maneno yake mteule Mox a.k.a Mchizi, ambaye safari hii ametokea katika studio za Baucha Records.
Loon Bongo - Bongo5 Exclusive!!
Si wote wanaofahamu kuwa msanii Loon kutoka Nchini Marekani alipokuwa nchini Tanzania alifanya mkono kwa kushirikiana na msanii Ibra Da Hustle wa kundi la Nako 2 Nako na Prodyuza Ambros wa Mandugu Digital.
Sepetu blames racism for poor show
MISS Vodacom Tanzania Wema Sepetu has finally broken her silence and cited racism as the main reason why she performed dismally in the Miss World beauty pageant held in Poland recently.
Jay-Z takes Tanzania by storm
VISITING US rapper Shawn Carter alias Jay Z on Wednesday night gave Tanzanians a show to remember when he performed at the Diamond Jubilee hall in Dar es Salaam.
Jigga Jay Z arrives in Dar!
THE eagerly awaited show by the American hip hop superstar Shawn Corey Carter alias 'Jay-Z' takes place today at the Diamond Jubilee hall in Dar es Salaam.
Fid Q - August 13!! Bongo5 Exclusive
Ni msanii pekee ambaye amechelewa kutoa albam yake ambayo imekuwa ikisubiriwa sana na mashabiki wa muziki kizazi kipya, Fid Fareed Q ama Fid Q au Ngosha The Don kama wengi ambavyo wamekuwa wakimuita.
Wema Sepetu hoi Poland
Ndoto ya Watanzania kuendelea kutamba katika mashindano ya kumsaka mrembo wa Dunia, 'Miss World 2006' juzi usiku ilipotea baada ya Wema Sepetu kuangukia pua katika kinyang'anyiro hicho kilichofanyika Warsal, Poland.
CP kutoa kitu kipya...crunk
Msanii CP ambaye anatamba na kibao chake ‘6 in the Morning' hivi karibuni alionekana akipiga misele katika viwanja vya mawingu studio, jambo ambalo lilimfanya muandishi wa habari hizi atake kujua kulikoni.
Kiingereza siyo tatizo - Irene
“Kiingereza hakikuwa tatizo kwangu kwani nimeanza kuongea lugha hiyo tangu nikiwa mtoto mdogo iweje leo nionekane sijui wakati hata kwenye shindano la kumtafuta mrembo wa Temeke niliongea kiingereza?.
Music Video Zapigwa Marufuku
Baadhi ya Video za muziki ambazo hivi karibuni zimezua sokomoko kwenye vituo vya televisheni, zimefungiwa kuonyeshwa.
Helsinki Bomba Drive!!
Mad Ice started his own radioshow Helsinki Bomba Drive on KSL Radio Rainbow 100,3 MHZ, in Finland.
STARA TEAMS UP WITH PROF JAY
Stara Thomas, singer and longtime favourite in the Tanzanian music biz, is preparing a new track called Life So Simple, featuring Bongo Flava heavyweight Professor Jay.
TRIPLE RELEASE FROM WANAUME FAMILY
Bongo Flava hit group TMK Wanaume is getting ready to tour Tanzania with three new albums from three different group members.
Moe Tekniks kurudi kimya kimya!
Msanii aliye makini ktk miondoko hii ya Bongo Flava kutoka kundi kongwe la 'Wateule',Jay Moe a.k.a 'Moe Tekniks' a.k.a 'Mawazo' amekamilisha albam yake ya tatu itakayokwenda kwa jina la 'Kimya Kimya'.
Bizzman ajitupa BBC
Msanii nyota Bizman, amekata utepe kwa wasanii wa Tanzania kuingia katika shindano la wimbo bora wa BBC, lililoanza Julai Mosi mwaka huu.
African jazz icon to visit Uganda
AFRICAN Jazz icon and grandfather, Hugh Masekela , jets into Uganda in September for a noble cause, to jazz-up a fundraising concert for disabled children.
Nikusaidieje juuuu Kisima Awards
Msanii Prof Jay ambaye hivi juzi juzi tu alikamata award za Kilimanjaro kutokana na songi lake 'Nikusaidieje'..mwishoni mwa wiki ameweza kukaa tena kwenye matawi ya juuu kabisa baada ya kutia kwapani award nyingine
<< Start
< Prev
61
62
63
64
65
66
67
Next >
End >>
[ Back ]
Top
Powered by
AlphaContent
Bongo5.com
© 2005-2008 - All rights reserved
Total Members
19349 registered
4821 female
14446 male
667 new this month
New:
surea
Who's Online Now
We have 34 guests online and 15 members online
Lonely Shirima
GAUCHO
Carmelo
my rachel
halfa k
nyaksy
mikingamo
BUDDY
big5
Rashid10
grory
mimi_19
faddymbongo
arsnal
makireu
Total of members in the chatroom:
Home
|
Search
|
Contact Us
|
Sitemap
2006-2007 © Copyright Bongo5.com