Username
Password
Remember me
Lost Password?
Click here to register
Home
Friends
News
Events
Photos
Music
Videos
Forum
Games
Chat
Results 181 - 210 of 2022
Jay Dee kumuimbia Nelson Mandela
Lady Jay Dee a.k.a Jide antarajia kutumbuiza katika sherehe yakuzaliwa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini mheshimiwa Nelson Mandela ambayo inatarajiwa kufanyika jijini London nchini Uingereza mwezi Juni tarehe 27 mwaka huu
Mike Tyson aja Tanzania
Bingwa wa zamani wa ndondi katika uzito wa juu duniani, Iron Mike Tyson, anatarajiwa kutua nchini Septemba mwaka huu akiambatana na bondia Laila Ali, ambaye ni binti wa nguli wa masumbwi duniani, Muhammed Ali
Mabadiliko makubwa Polisi
JESHI la Polisi nchini limefanya mabadiliko makubwa ya kuwastaafisha kazi askari wake kwa mujibu wa sheria, huku wengine wakibadilishwa vituo vya kazi
Brazil kuleta teknolojia ya mafuta kutoka kwa miwa
Serikali ya Brazil imesema ina nia ya kuleta nchini teknolojia ya kutengeneza mafuta ya mabaki ya miwa yanayoweza kutumika kama mbadala wa petroli. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana
Maambukizi ya ukimwi nchini yapungua
Asilimia 93 ya Watanzania hawajaambukizwa virusi vya ukimwi na kwamba jitihada zaidi zinaelekezwa katika kuwajali asilimia saba ya wale ambao tayari wameshaambukizwa virusi hivyo ili waweze kupata huduma zinazostahili
Ulinzi unahitajika kwa Dada zake Balali
Baadhi ya wakazi jijini Dar es Salaam wameitaka serikali iwapatie ulinzi dada zake na aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BOT
Mauaji Afrika Kusini: Watanzania wakimbilia polisi
Watanzania wanaoishi nchini Afrika Kusini, wamekimbilia kituo cha polisi cha Jeppe, jijini Johannesburg na sasa wameiomba serikali ya Tanzania iwasaidie waweze kurejea nchini.
Rest In Peace Balali
Aliyekuwa gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BOT) Daudi Balali amefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita huko nyumbani kwake, Washington DC, nchini Marekani
Kishindo cha Ally Rehmtullah 24 Mei
Mwanamitindo maarufu hapa nchini almaarufu kwa jina la Ally Rehmtullah hivi karibuni anatarajia kuzindua mavazi yake ambayo yanatarajia kujulikana kwa jina la Sex In The Event, linalotarajiwa kufanyika katika hotel ya Kilimanjaro Kempinski
Waachana na muafaka waubiri uchaguzi 2010
Chama cha Wananchi (CUF) kimejibu kauli iliyotolewa na Rais Aman Abeid Karume wa Zanzibar ya kuwapa sharti viongozi wa chama hicho kabla ya kukutana kwenye mazungumzo ya kuleta muafaka wa kisiasa visiwani humo
Seif anitambue Kama Mimi ndio Raisi ndio tujadili Muafaka
Raisi wa Zanzibar Amani Abeid Karume, ametoa masharti ya kukutana na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, kuhusu Muafaka na kumtaka kwanza amtambue kuwa ni Rais halali aliyechaguliwa kwa kura nyingi
Machale yamcheza Kandoro
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Abas Kandoro, amestushwa na "usanii" wa mikataba ya ujenzi wa barabara kadhaa za manispaa za Jiji lake na kueleza kuwa kuanzia sasa ataripoti kwenye Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini
Majambazi watumia mabomu kupora abiria
Kundi la watu wasiozidi 15 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha za kivita, wamevamia basi moja la abiria kulilipua kwa mabomu na na kusababisha vifo vya watu wawili papo hapo
Kipanya chaua saba
WATU saba wamekufa papo hapo na wengine 11 kujeruhiwa katika ajali mbaya ya basi dogo aina ya Toyota Hiace ‘kipanya’, lililokuwa likisafiri kutoka Tukuyu mjini, Wilaya ya Rungwe kuelekea Kyela
Vigogo wa CUF, NLD nusura watwangane
Mtafaruku mkubwa uliibuka juzi katika hoteli ya Bwawani, visiwani Zanzibar baada ya baadhi ya viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) na NLD kutaka kutwangana wakati wa kikao
Watu wamiminika Shoprite kununua mkate Sh 340
WATU wengi wamekuwa wakimiminika katika maduka makubwa ya Shoprite Dar es Salaam kununua mikate inayouzwa kwa bei nafuu ya Sh 340 wakati sehemu nyingine inauzwa hadi Sh 900
Richmond yafanya utapeli mwingine
KAMPUNI ya Richmond Development Company LLC imezidi kuonesha taswira yake ya kisanii baada ya uchunguzi wa gazeti hili kubaini kuwa hivi sasa imeanza kufanya utapeli mwingine
Mdogo wa JK asikitishwa na tapeli...
Mdogo wa Rais Jakaya Kikwete, Bw. Yusuf Kikwete, amekilalamikia kitendo cha kijana anayetumia jina lake kujipatia mali na kushauri kuwa, watu wa namna hiyo, wanastaili kunyongwa
Kaduguda kumwaga mshiko akishukuru kusimamishwa
Klabu ya Simba ikiwa imetangaza kumsimamisha uongozi kwa muda usiojulikana Katibu Mkuu wao Mwina Kaduguda, kiongozi huyo amesema atamwaga mshiko kwa uongozi wa Simba na kwenye kundi la vibopa wa klabu hiyo, ikiwa ni shukrani kwa hatua waliyochukua ya...
|
Read more...
Nani Hizbu? CCM au CUF
Baada ya kujibu makombora ya chama tawala CCM, sasa Chama Cha Wananchi (CUF) kimebaini wazi kuwa hali imebadilika na kuonekana sasa vyama hivyo vinakitumia chama cha Hizbu ili kuchafuana
Wanafunzi kulazwa chali kutazama jua ikiwa ni adhabu
Wanafunzi zaidi ya 1,000 wa kwenye shule za msingi tatu tofauti zilizopo kwenye kata ya Uvinza wanalazimishwa kuwahi masomo usiku na wanaochelewa hulazwa chali kama moja ya adhabu
George Bush apata Mkwe!
Ilikuwa ni bonge ya pati ndani ya kjiji cha Crawford katika jimbo la Texas, Marekani jumapili hii ambapo Jenna Bush, 26, mtoto wa rais George W. Bush wa Marekani alivyofunga ndoa na Henry Hager, 30
Nick Canon aiweka jumla kwa Mariah Carey
Walifunga ndoa ya siri mwishoni mwa mwezi uliopita na baada ya hapo walienda kujipumzisha kwenye visiwa vya Bahamas kwa muda wa siku kumi na nne kabla ya kurejea kwenye makazi yao
Barabara kuu zote kuwekewa lami
Rais Jakaya Kikwete amesema serikali imedhamiria kuzijenga kwa kiwango cha lami barabara zote kuu, za mikoa na zile za vijijini ili kurahisha usafiri na usafishaji wa bidha na kuharakisha maendeleo ya wananchi na taifa
"Nayafurahia maamuzi yangu" Young Buck
Inasemekana lile duku duku la msanii aliyekuwa miongoni mwa wasanii wa kundi la G-Unit, Young Buck, bado limekuwa likimchanganya mchizi huyo ambaye amekuwa akisikika kujutia kwake kuchelewa kuchomoka katika kundi hilo
Orodha mpya ya mafisadi yatua Ikulu
Orodha ya watumishi wa Serikali wanaotuhumiwa kushiriki katika tukio lililoiwezesha kampuni ya kuzalisha umeme ya Richmond kuingia mkataba wa kifisadi ulioiingiza nchi katika hasara ya mabilioni ya pesa imetua Ikulu
Pochi Yawatoa Roho Maskini
Vijana wawili wanaotuhumiwa kuwa ni wameshambuliwa na wananchi hadi kufa baada ya kumpora abiria mkoba wake akiwa ndani ya daladala tukio lilitokea maeneo ya Manzese Argentina
Dkt Shein Mgeni Rasmi Siku Ya Mazingira Duniani
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt Ali Mohammeid Shein, anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, yatakayo adhimishwa kitaifa Juni Tano Mwaka huu Mkoani Shinyanga
Dk. Shein kujadili Muungano
Makamu wa Rais Mh Dtk Ali M. Shein, anatarajia kuongoza kikao kitakachofanyika jijini Dar Es Salaam siku ya Alhamisi wiki hii kwa nia ya kujadili masuala mabali mbali ya Muungano
Tutamshangaa atakayempinga Kikwete...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitashangaa kama atatokea mwanachama wa kupambana na Rais Jakaya Kikwete, katika uteuzi wa kugombea urais mwaka 2010
<< Start
< Prev
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
Next >
End >>
[ Back ]
Top
Powered by
AlphaContent
Bongo5.com
© 2005-2008 - All rights reserved
Total Members
19501 registered
4850 female
14569 male
98 new this month
New:
carter
Who's Online Now
We have 15 guests online and 3 members online
afrgal
mimina8
narumba
Total of members in the chatroom:
Home
|
Search
|
Contact Us
|
Sitemap
2006-2007 © Copyright Bongo5.com