SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register




 

Results 121 - 150 of 2005
Timu ya Taifa ya Kameruni jana ilifanya mazoezi chini ya ulinzi mkali kwenye Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam ikijiandaa na mchezo wake dhidi ya Taifa Stars wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia zilizopangwa kufanyika Afrika Kusini mwaka 2010 na Matai...

Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania imeshindwa kupunguza bei ya petroli na dizeli katika bajeti yake ya mwaka 2008/2009, badala yake imewabana wavuta sigara na wanywaji wa bia na soda kwa kupandisha kodi ya bidhaa hizo.

Mbunge wa Kyela kwa tiketi ya CCM, Dk Harrison Mwakyembe ameugua ghafla akiwa bungeni na kukimbizwa hospitali iliyo karibu na maeneo yalipo majengo ya Bunge.

Polisi wa mkoani Dar es Salaam wamewakamata watuhumiwa 298 katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo, Kituo cha Daladala Ubungo na Kituo cha Mabasi cha Mwenge, wakiwamo 111 wanaodaiwa kufanya uchochezi wa mgomo wa daladala nchini.

Ikiwa inaendelea kesi ya mauaji dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Abdallah Zombe na wenzake, polisi wapatao watano wa kituo cha Chang'ombe wanadaiwa kumteka mfanyabiashara na kumpora fedha na mali.

Mauaji ya kinyama yametokea usiku wa kuamkia leo Jijini baada ya mwanaume mmoja kudaiwa kumuua mkewe kwa kumcharanga visu mwilini, kwa madai yake kuwa eti, amekerwa na tabia ya kugawa penzi ovyo kwa wanaume wengine.

Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alli Hassan Mwenyi a.k.a Mzee Ruksa, Jumamosi ijayo ataongoza ujumbe wa watu 55 wakiwemo wafanyakazi wa kampuni ya madini ya Geita (GGM), kupanda Mlima Kilimanjaro kwa muda wa siku sita.

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajiwa kuanza mkutano wake wa 12 kesholitakalojadili bajeti ya mwaka ujao wa fedha, imegundulika kuwa wabunge kadhaa wamepania kutaka maelezo zaidi kuhusu mapesa yaliyochotwa Benki Kuu,

Imebainika kuwa Chanzo cha kuungua na kuharibika waya wa umeme wa chini ya bahari unaopeleka umeme Zanzibar kuwa ni ukosefu wa betri za kuendeshea jenereta za kupoza waya huo ambao unalazimika kupozwa....

Wananchi wanaotumia mafuta aina ya dizeli wanatakiwa kuwa makini kwani hivi karibuni imebainika kuwa vituo vingi vya mafuta vinauza dizeli iliyochanganywa na mafuta ya taa kwa lengo la kupata faida zaidi.

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndullu hivi karibuni ameweka wazi kwa kudai kuwa ni mara ya kwanza kuwepo changamoto ambazo yeye binafsi amezipata na taasisi yake kufuatia kashfa ya ufisadi  

Mjengo wa maana uliokuwa unamilikiwa na mwanamuziki 50 Cents huko Long Island ndani ya jiji la New York nchini Marekani umeteketea vibaya na uharibifu wa mali nyingi umetokea lakini watu waliokuwa ndani ya nyumba hiyo wamesalimika.

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein amesema pamoja na kuwepo kwa mafanikio katika utekelezaji wa Mkakati wa Kuhifadhi Mazingira ya Ardhi na Vyanzo vya Maji uliopitishwa mwaka 2006  

Mashindano ya soka ya Copa Coca Cola yanatarajiwa kuanza keshokutwa jijini Dar es Salaam, ikiwa ni baada ya kukamilika kwa hatua zote muhimu ambazo zilikuwa zikisubiriwa kwa hamu sana na mashabiki.

Serikali imesema inatarajia kuongeza nauli ya magari ya abiria nchini ikiwamo daladala zinazotoa huduma jijini Dar es Salaam, mara tu baada ya Bajeti ya Serikali kutangazwa.

Rais wa jamuhuri ya muungan wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza Kampuni ya Vodacom Tanzania kwa ushiriki wake mzuri wa kuhudhuria mkutano wa nane wa Sullivan unaoendelea jijini hapa.

Kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya kugombea uraisi nchini Marekani kati ya Bi Hillary Clinton na Barak Obama, hivi sasa zinaelekea ukingoni huku Bwana Obama akiwa na nafasi kubwa ya kushinda...

Joto la Mchuano utakaofanyika keshokutwa jumamosi (Juni 7) wa kumsaka Mrembo wa Mkoani hapa Miss Tanga 2008, linazidi kupamba moto baada ya kila mshiriki wa shindano hilo kutamba kuwa ndiye atakayekuwa mrithi wa Victoria Martin.

Ule mradi wa wakala wa usafiri wa haraka nchini, DART unatarajiwa kutekelezwa kwa awamu sita ikiwa ni kabla ya kukamilika rasmi na hivyo kuwa wa kwanza na wa aina yake barani Afrika.

 Kampuni ya Vodacom Tanzania imezindua huduma yake ya 3G mkoani Arusha ambayo itawawezesha wateja kupata huduma ya uhakika na haraka ya mtandao katika Mkutano wa nane wa Sullivan unaoendelea.

Rais mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, jana alitoa kauli nzito dhidi ya viongozi wa Afrika na kuwataka kupambana na rushwa katika nchi zao, hata kama zinawahusu viongozi wakuu waliopo madarakani na wale waliostaafu ndani ya nchi zao

KUNDI la vichekesho la Ze Comedy jana lilitangaza kuingia mkataba wa mwaka mmoja na kituo cha televisheni la TBC 1, msanii Emanuel Mgaya ' Masanja', alisema vituo vingi vya televisheni nchini waliomba kufanya nao kazi, lakini wao wamejali kituo kilic...

Mkuu wa zamani katika masuala ya Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Abdallah Zombe anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini,jana alitoa mpya kortini baada ya kunukuu vifungu vya Biblia...

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imesema wataalamu waliokuwa wakisubiriwa kutoka Ulaya, wamewasili na kuanza kufanya utafiti juu ya eneo lililoleta matatizo ya kiufundi na kusababisha Zanzibar kukosa umeme kwa wiki mbili sasa

RAIS mstaafu Bw. Benjamini Mkapa anatarajiwa kuondoka nchini kesho kwenda Ulaya na Marekani ambapo ziara hiyo itamfikisha mjini Boston, jimboni Massachusetts alikoishi gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) marehemu Dkt. Daudi Ballali

Mamia ya wananchi wa Manispaa ya Moshi wamevamia Kituo cha Polisi cha Majengo mjini hapa wakitaka kukichoma moto na kuwajeruhi askari watatu, wakidai kilikuwa kimewaficha watu wanaotuhumiwa kumuua mtoto na kumkata viungo vya siri

Jumla ya Vipodozi 273 vimeteketezwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) baada ya kuonekana kuwa na viambato vyenye sumu kwa takriban miaka mitano tangu kuanzishwa kwa mamlaka hiyo

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limetishia kuzifungia bendi za FM Academia, TOT Respect na Akudo Impact kwa maelezo kuwa wanenguaji wake kuvaa vichupi wawapo jukwaani

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amepiga marufuku uamuzi wa Manispaa ya Kinondoni kuuza kwa mfanyabiashara mmoja maarufu eneo la ufukwe la Coco Beach

CCM kimesema kwa sasa hakiwezi kuzungumzia kauli ya Mwenyekiti wa Taifa Mstaafu wa chama hicho, Benjamin Mkapa kwamba si tajiri kama watu wanavyodhani na kwamba anaishi kwa kutegemea pensheni ya Urais

  

Powered by AlphaContent Bongo5.com © 2005-2008 - All rights reserved
Total Members
total 19343 registered
female 4819 female
male 14442 male
month 661 new this month
New: sweet14
Who's Online Now
We have 31 guests online and 5 members online
melby amachris Iceslim Nisipitwe tamiha
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com