Username
Password
Remember me
Lost Password?
Bofya hapa kujiunga
Mwanzo
Marafiki
Habari
Matukio
Picha
Muziki
Runinga
Mijadala
Michezo
Chat
Matokeo 1 - 30 ya 2064
Kawawa Kuongoza Kumbuku Ya Nyerere
Mlezi wa chama cha michezo ya jadi mkoa wa Dar Es Salaam ambaye pia ni makamu wa pili wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu Mh.Rashid Mfaume Kawawa (Simba wa Vita),atawaongoza waaalikwa mbalimbali,wapenzi na washabiki wa mchezo wa bao katika viwa...
|
Read more...
Tamasha La Filamu Laanza Rasmi
Tamasha la Filamu za Ulaya European Film Festival limeanza rasmi kuonyesha filamu siku ya ijumaa katika ukumbi wa New World Cinema.
Taifa Stars Kiwango
Baada ya timu ya soka ya taifa, Taifa Stars juzi kuibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Cape Verde juzi, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Marcio Maximo amesema kuwa sasa anaamini kikosi chake kimekuwa bora.
Chadema, CCM Ngoma Nzito Tarime
WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), jana walikuwa wakishangilia kwenye mitaa mingi ya mjini Tarime, huku polisi wakitumia mabomu ya machozi kuwatawanya baada ya matokeo ya ubunge na udiwani kuanza kupatikana kutoka vituoni.
Taifa Kuivaa Cape Verde Kesho
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Kesho inajitupa dimbani katika uwanja mkuu wa Taifa kupambana na timu ya taifa ya Cape Verde katika mpambano wa kukamilisha ratiba ya kugombania tiketi ya kombe la dunia na mataifa ya Afrika yanayotarajiwa kufany...
|
Read more...
Bado Damu Yamwagika Tarime
Wafuasi wanaoa minika kuwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamewapiga na mmoja wao kuwakata kwa mapanga vijana wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini hapa.
Rest in Peace Roy!!
Producer nguli wa muziki hapa bongo aliyetambulika kwa jina la Roy Bukuku aka Roy wa G Records, amefariki dunia jana. Ndugu huyu hatunaye tena baada ya kuugua homa ya mapafu huko Mkoani Mbeya alikozaliwa
Chameleon avunjika miguu yote
MSANII maarufu wa Uganda, Jose Chameleon amejirusha kutoka ghorofa ya tatu ya Hoteli ya Impala mjini Arusha na kusababisha kuumia vibaya ikiwa ni pamoja na kuvunjika miguu yote
Mshtuko mpya Tarime
ZIKIWA zimesalia siku sita kabla ya kupiga kura Oktoba 12 mwaka huu, hali ya wasiwasi na mshtuko imewakumba mamia ya wapiga kura kutokana na baadhi yao kutokuwamo kwenye orodha ya watu wanaotakiwa kupiga kura
Tabora: Walionusurika walonga
Baadhi ya watoto walionusurika kifo katika ukumbi wa Bubbles Night Club katika Sikukuu ya Idi mjni hapa, wamesema kuwa watoto waliokuwemo ndani ya ukumbi walikuwa zaidi ya 1500
Eid Mubarak!!
Wadau wote wa Bongo5 nachukua nafasi hii kuwatakia Eid Mubarak popote mlipo duniani. Naomba tuendelee kuwa pamoja na pia tuendeleze yote yaliyo mema katika siku za maisha yetu.
Kingwendu Aula Kenya
Msanii wa sanaa ya maigizo na muziki Rashidi Mazingi ambaye anajulikana zaidi kama Kingwendu amepata show mbili jijini Nairobi na Mombasa nchini Kenya
Mgao Wa Umeme Waisha
Juhudi za Wataalamu wa umeme kutoka marekani zimefanikisha kutengemaa kwa mtambo mmoja kati ya mitatu ya kuzalisha umeme wa megawati 40 amabyo iliharibika katikakati ya wiki iliyopita
Makachero Waivuruga Tarime
Askari polisi anayeaminika kuwa wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kutoka mkoani Arusha, Emmanuel Zakaria, amekamatwa wakati akinunua kadi za uanachama katika ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Msekwa Ashangazwa Na Warioba
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Pius Msekwa, ameshangaa madai ya Jaji Joseph Warioba kwamba vikao vya chama hicho vimejaa visasi na kukomoana na kumtaka aache kile alichokiita `usongombwingo`.
Mlima Kilimanjaro wazua mzozo
MLIMA Kilimanjaro umesababisha mzozo miongoni mwa Watanzania na Wakenya wanaoshiriki mafunzo ya utawala bora na mapambano dhidi ya rushwa, mjini Milwaukee
JK: Misaada kwa Afrika ni wajibu, siyo hisani
BARA la Afrika limeziambia nchi tajiri duniani, kuwa hatua zozote za kuongeza rasilimali zake kwa maendeleo ya Afrika si hisani, bali ni wajibu wa kihistoria na ulazima wa kiroho kwa nchi hizo kufanya hivyo
Odinga kutua Dar leo kwa ziara ya siku tatu
Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, anatarajiwa kuwasili nchini leo kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, jana jijini Dar es Salaam
Warioba abashiri mafisadi wa EPA kutikisa nchi
Tanzania kama Taifa lenye dola kamili litatikisika na kudhalilika mno machoni pa wananchi wake na katika jumuiya ya kimataifa, iwapo matajiri waliogushi na kuiba fedha za EPA hawatafikishwa mahakamani
Latoya wa kwanza kutolewa BBA3
Mshiriki wa Tanzania kwenye Shindano la Big Brother III, Latoya Lyakurwa amekuwa mtu wa kwanza kutolewa katika mchuano huo unaoendelea nchini Afrika Kusini
Mh. Temba kuachana na ukapera
Msani wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Amani James Temba a.k.a Mheshimiwa Temba anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu
Daraja la Umoja kukamilika mwakani
UJENZI wa daraja linalounganisha nchi za Tanzania na Msumbiji ambalo linaendelea kujengwa katika eneo la Mtambaswala, Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara, utakamilika Novemba 2009
Mbeki akubali kuachia kiti ya urais
RAIS Thabo Mbeki wa Afrika Kusini amekubali kujiuzulu, baada ya Kamati Kuu ya Chama cha African National Congress (ANC) nchini humo kumtaka aachie madaraka ya urais kabla ya kumalizika muda wake mwakani
Uingereza kufunga ubalozi wake mdogo Zanzibar
UBALOZI mdogo wa Uingereza nchini unatarajia kufungwa Visiwani Zanzibar hivi karibuni kutokana na nchi hiyo kukabiliwa na ukata
Mgonja: Niacheni na ufisadi wangu
WAKATI CHADEMA kimeadhimisha mwaka mmoja, tangu kitangaze orodha ya majina ya vigogo 11 wanaotuhumiwa kwa ufisadi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Gray Mgonja, mmoja wa watu waliotajwa katika orodha hiyo, amewataka waandishi wa habari wamwache na u...
|
Read more...
Mugabe, Tsvangirai waandika historia
ZIMBABWE imefungua ukurasa mpya wa kihistoria, baada ya kutiwa saini makubaliano yatakayowezesha kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa
Latoya, Tawana nani kutolewa Jumapili?
WATAZAMAJI wa shindano la Big Brother 3 linalofanyika nchini Afrika Kusini, jana walianza kupiga kura ya kuchagua mshiriki atakayerudishwa katika jumba hilo, kutoka katika 'shimo la taka'
Samaki wa 'kihistoria' avuliwa Tanga
Samaki mkubwa wa kihistoria duniani ambaye alikuwa amepotea zaidi ya miaka milioni 65 ameibuka juzi katika Kisiwa cha Nyuli, Pwani ya Tanga na kuvuliwa na wavuvi wa eneo la Sahare Jijini hapa
Janeth Kahama: Sophia Simba alinirushia makonde
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Kahama, amedai kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Sophia Simba, alimrushia makonde kwenye kikao cha Kamati ya Siasa
Watanzania waliouawa Afrika Kusini wadaiwa ni kutokana na uhalifu
VIFO vya Watanzania wawili waliouawa nchini Afrika Kusini na kuzikwa Zanzibar juzi, vimezidi kuleta utata baada ya taarifa kudai kwamba vifo hivyo havikutokana na mapigano ya kufukuza wageni nchini kama walivyodai ndugu wa marehemu
<< Mwanzo
< Prev
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
Next >
Mwisho >>
[ Back ]
Top
Powered by
AlphaContent
Bongo5.com
© 2005-2008 - All rights reserved
Total Members
20238 wanachama
5034 female
15122 male
235 mwezi huu
Mpya:
uncle g
Who's Online Now
We have 39 guests online and 5 members online
PKJ
MaryAnn
FESKAM
aliciak2
babas
Total of members in the chatroom:
Mwanzo
|
Tafuta
|
Wasiliana Nasi
|
Sitemap
2006-2007 © Copyright Bongo5.com