SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register




 

Results 1 - 30 of 2022
SUALA la utata katika mradi wa ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), ni miongoni mwa ajenda zinazotarajiwa kuwasha moto mkali wa hoja wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo

VIBOPA wapya wa timu ya Manchester City ya Uingereza ambao wanatoka Falme za Kiarabu wamesema wanafikiria kumlipa paundi milioni 135, ambazo ni sawa na dola milioni 210 mshambualiji wa Manchester United, Cristiano Ronaldo

Siku 11 tu kwa washiriki wa Big Brother Africa III, ndani ya jumba hilo, Mshiriki kutoka Tanzania, Latoya Lyakurwa (Latoya) ameikumbuka simu yake. Utaratibu wa Big Brother Africa, mshiriki haruhusiwi kuingia na simu

Msanii mkongwe wa muziki wa reggae na muziki wa dansi, Ras Nas au Nasibu Mwanukuzi, amefanya mahojiano na BBC prizenta Laura Hubber wa kipindi maarufu cha 'The Beat'

KUNDI la Wasabato Masalia, kwa mara ya tatu limesambaratishwa na askari wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, baada ya kurudi tena uwanjani hapo huku wakiwa wameongezeka idadi yao kutoka 17 hadi kufikia 51

MTANZANIA aliyekamatwa namakachero wa Marekani kwa kuhusishwa na ugaidi, Suleiman Abdallah Salim, amerudishwa Zanzibar juzi na Shirika la Msalaba Mwekundu kutoka Afghanistan baada ya kubainika kwamba si gaidi

Wachezaji wa timu ya soka ya taifa,Taifa Stars wametakiwa kushinda mchezo dhidi ya Mauritius utakaofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Mauritius ili kujenga heshima ya nchi na kupanda kwenye chati za viwango vya soka vya Fifa.

RAIS Jakaya Kikwete ambaye alikuwa ziarani nchini Marekani na kuwasihi wachezaji maarufu wa mpira wa kikapu nchini humo waitembelee Tanzania na kusaidia kutoa elimu ya mchezo huo amefanikiwa baada ya baadhi ya wachezaji nyota wa mchezo huo kutarajiwa...

BENKI ya Dunia (WB) imesema usiri katika mikataba ya madini nchini ni chanzo cha rushwa na manung'uniko ya wananchi dhidi serikali yao.

KATIKA hali inayojionyesha kuwa Waafrika wamezidiwa na utashi wa kupindukia na kuonyesha mapenzi kwa mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya Chama cha Democrats, Barack Obama, raia kadhaa wa Nigeria wamemchangia kiasi cha Naira 74 milioni (sawa na ...

Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini na dereva teksi mmoja, aliyekuwa Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam,wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Abdallah Zombe, ameiomba Mahakama Kuu kuamuru zipelekwe sila...

BAADHI ya vigogo wa Benki Kuu (BoT) wanaotajwa kuhusika katika ufisadi wa zaidi ya Sh133 bilioni katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), wameanza kukata rufaa katika Jopo Maalumu la Kamati ya Nidhamu kupinga tuhuma na adhabu dhidi yao.

Siku ya wahandisi Duniani inatarajiwa  kuadhimishwa tarerhe 4 na 5 mwezi huu katika Hotel ya Kunduchi Beach huku mgeni rasmi katika  siku hiyo akitarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Mwananfunzi  wa kidato cha sita katika shule ya sekondari Loyola Martin Wilbert Kolikoli mwenye umri wa miaka () amechaguliwa kuwa mmoja wa vijana wataohudhuria mafunzo ya wiki moja ya mchezo wa kikapu yanayokwenda kwa jina la “Basketball ...

Umati wa wakazi wa jiji la Dar es salaam na vitongoji vyake pamoja na wakazi wengine wa nchi hii usiku wa kuamkia jumapili waliburudika na shoo ya kufa mtu kutoka kwa vijana mapacha wanaotokea jijini Abuja nchini Nigeria

Mkurugenzi wa kampuni ambayo inamiliki bendi mbili za Afican Stars na Vibration Sound siku ya jumapili aligeuka kuwa mama nitilie pale ambapo alionekana kuwa bize kwa kupakuwa na kugawa vyakula kwa waandishi na washabiki mbalimbali

Hatimaye tuna bingwa wa Free Style! Baada ya kuwafunika wakali wenzake Lusajo amejinyakulia taji hilo. Mchuano huo mkali uliodumu kwa takribani mwezi mmoja wa kumtafuta makali wa freestyle ulifikia tamati mwishoni mwa wiki iliopit

Serikali leo, inakabiliwa na mtihani mgumu wa kuonesha ina msimamo katika masuala ya msingi, wakati Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda, atakaposimama Bungeni kutoa ripoti ya utekelezaji wa serikali juu ya kashfa ya Richmond

MFANYABIASHARA maarufu nchini na Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi, ameibuka na kushambulia kundi la mafisadi

TIMU ya Tanzania iliyoshiriki michezo ya olimpiki mwaka huu, ilirejea nchini jana na kueleza sababu ya kurejea mikono mitupu ni maandalizi duni.

Mwigizaji na mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Will Smith yupo nchini Tanzania, leo ametoka mjini Bagamoyo ambako alitoa msaada wa vyandarua katika hospitali ya wilaya ya Bagamoyo. 

Uhamasishaji wa RAFDA Mwanza na Arusha uliofanyika wiki hii uliendelea vizuri. Mwanza imeonyesha mwamko zaidi kwani wabunifu walijitokeza kwa wingi zaidi wengi wao wakiwa wana ujuzi wa fani hii kwani tayari wana majina makubwa kwenye ulimwengu wa fas...

Latoya ndio mwakilishi wetu huko nchini Afrika Kusini katika lile shindano maarufu lijulikanalo kwa jina la Big Brother Africa III.

SHAUKU ya wabunge kuichambua hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa bungeni wiki iliyopita imekwama, baada ya uamuzi wa kuijadili kuzuiwa kwa sasa

Kuna taarifa kuwa vigogo kadhaa ambao walihusishwa na sakata la mkataba `bomu` wa kufua umeme wa dharura wa Richmond, watatupwa nje ikiwa ni hatua ya kutekeleza mapendekezo yaliyotolewa na Kamati Teule ya Bunge iliyoundwa kuchunguza sakata hilo

Rais Levy Mwanawasa wa Zambia (59) amefariki dunia katika hospitali moja mjini Paris, Ufaransa alikokuwa amelazwa baada ya kupatwa na kiharusi Juni mwaka huu.

Mahakama Kuu Kitengo cha biashara, jana ilitupilia mbali ombi la kundi la Ze Comedy kutaka mahakama hiyo itoe idhini ya wao kuendelea na kazi zao kwa kutumia jina hilo wakati kesi ya msingi ikiendelea

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi, amefuta tamko la kuwataka wanajeshi waliovaa sare kulipa nauli katika vyombo vya usafiri mijini, kwa kuwa halikuwa na baraka za uongozi wa juu wa wizara yake

Rais Jakaya Kikwete amekabidhiwa ripoti ya uchunguzi wa upotevu Sh. bilioni 133 katika Akaunti ya Malipo ya Nje (EPA) ndani ya BoT na anatarajiwa kuitolea maamuzi siku chache zijazo

RIPOTI ya utafiti wa hali ya kisiasa nchini iliyotolewa na Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania (Redet) imeonyesha kuwa Benjamin Mkapa alifanikiwa zaidi kiuntendaji katika miaka kumi yake ya uongozi kuliko miaka miwili ya Rais Jakaya ...

<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>
  

Powered by AlphaContent Bongo5.com © 2005-2008 - All rights reserved
Total Members
total 19501 registered
female 4850 female
male 14569 male
month 98 new this month
New: carter
Who's Online Now
We have 16 guests online and 3 members online
zeed automaticciera@aol.com mdaku
Bongo5 Chat Zone 2.0
Total of members in the chatroom:
2006-2007 © Copyright Bongo5.com