SwahiliEnglish
            Lost Password?    Click here to register




 

Results 1 - 30 of 1931
Watanzania tumeweza kumpata Miss Universe Tanzania Bi Amanda Sululu ambaye amemrithi Mwanadada Flaviana Matata  aliyewahi kubahatika kufikia mpaka hatua ya kumi bora katika mashindano kama hayo...

Jeshi la Polisi na mgambo wameanza kutumika kwa pamoja katika kusaidia ulinzi ndani ya viwanja vya maonyesho vya Mwalimu Nyerere Jijini, ikiwa ni hatua mojawapo ya Halmashauri ya Biashara ya Nje, BET katika kuimarisha usalama wa watu na mali.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni linawashikiliwa wasichana 12 kwa tuhuma za kukutwa wakijihusisha na biashara ya kuuza miili yao ( changudoa).

KAMPUNI iliyokuwa ikimchunguza Waziri wa zamani wa Miundombinu, Adrew Chenge, imezidi kuja juu baada ya kuzibana kampuni nyingine ambazo zimekuwa...  

Rais wa Zambia Mheshimiwa levy Mwanawasa ambaye alikuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, amedaiwa kufariki dunia jana asubuhi akiwa hospitalini jijini hapa

Judith Wambura a.k.a Binti Machozi a.k.a Lady JayDee kama unahofia kuchapia waweza kumuita Jide, bado anaendelea na ziara yake nchini uingereza ambapo anatarajia kupiga show nyingine mbili kabla hajarejea...

Waziri Mkuu wa jamuhuri ya muungano wa tanzania Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda ametakiwa kuliomba radhi Bunge la Jamhuri ya Muungano na Watanzania kwa ujumla,

Wananchi wametakiwa kutotumia vibaya madawa na bidhaa zitokazo Viwandani pamoja na Viwatilifu, kwani vinaweza kusababisha madhara makubwa kwa Binadamu na Mazingira.

Mwili wa mtu asiyefahamika umezikwa juu ya kaburi la mtoto wa Mchungaji huku mkono wake mmoja ukiwa umebaki nje, tukio hilo la aina yake limevuta hisia za wakazi wa kitongoji cha Mbalizi nje kidogo ya jiji la Mbeya.

Kali ambayo imejiri katka kinyang’anyiro cha Kilimanjaro Music Awards ni baada ya msanii wa muziki wa kizazi kipya almaarif kwa jina la bushoke kutunikiwa tuzo ambayo sio ya kwake na kudai kuwa anahitaji kuirudisha,

Msimu wa Tuzo za Kilimanjaro umemalizika kwa namna yake baada ya wasanii walioshirikia katika kinyang’anyiro hicho baadhi kujinyakulia tuzo zao na wengine kupata nafasi ya kufanya jitihada za kushiriki msimu ujao.

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Jakaya Kikwete, ameondoka nchini jana kwenda Misri, kuhudhuria kikao cha 11 cha wakuu wa nchi za Afrika, ambako, pamoja na mambo mengine, kitazungumzia hali ya kisiasa nchini Zimbabwe

SAKATA la kashfa ya ufisadi inayoihusu kampuni ya kuzalisha umeme wa dharura ya Richmond, limechukua sura mpya baada ya Chama cha Wananchi (CUF) kumhusisha Rais Jakaya Kikwete, kwamba naye anapaswa kuwajibika kwa hasara iliyotokana na kashfa hiyo

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Bw. Suleiman Kova, amezitaka hoteli zote na nyumba za kulala wageni kuweka kamera za kunasa matukio  

TANZANIA inaokoa wastani wa Sh bilioni moja kila mwezi baada ya kuachana na Mkaguzi wa dhahabu kutoka nje, Alex Stewart na kazi hiyo kufanywa na Watanzania, imefahamika

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki ilimhukumu mtumishi wa ndani kwenda jela miaka miwili, baada ya kupatikana na hatia ya kumuibia bosi wake mali ya Sh. 500,000

Kwa mara nyengine tena ZIFF litafanyika Zanzibar kuanzia tarehe 11 hadi 20 Julai ya mwaka huu wa 2008, tamasha la mwaka huu litabeba ujumbe unaofahamika kama ‘Culture Crossroads’ ikiwa na maana ya mikinzano ya utamaduni

“Ni mara yangu ya kwanza kuchaguliwa katika tuzo za kilimanjaro jambo ambalo limenifariji sana kwani sidhani kama nimekuwa kwenye gemu kwa muda mrefu lakini....

Serikali imesema inatafuta njia ya kuwaasi nzi dume wanaosababisha mafunza katika matunda hususan maembe. Aliyasema ha naibu Waziri Kiongozi, Ali Juma Shamuhuna wakati alipokuwa akitoa ufafanuzi juu ya tatizo hilo....

Watu wanaodhaniwa kuwa wakazi waliokuwa wakiishi katika eneo la Tabata Dampo jijini Dar es Salaam na watumishi wa kampuni inayodaiwa kuwa ni ya mmiliki wa eneo hilo, Alied Cargo wamefikishana polisi baada ya wamiliki hao kudaiwa kuvamia eneo hilo iki...

Hapo awali ilipotangazwa ujio wa msanii huyu nchini alisubiriwa kwa hamu na hakutokea lakini kwa uhakika zaidi mkali huyu ameshawasili nchini na anatarajiwa kupiga show ya kufa mtu hapo kesho ndani ya ukumbi wa Ubungo Plaza.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye hivi karibuni amezungumza na Bongo5 na kudai yuko katika hatua za mwisho kuweka albam yake sokoni....  

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO na Benki ya NMB wamezindua huduma mpya itakayowasaidia wateja wa Tanesco ambao pia ni wateja wa benki hiyo wenye kadi za ATM, kupata huduma ya kununua umeme wa mita za LUKU.

Zikiwa zimepita siku nne tangu kuanguka kwa jingo lenye urefu wa ghorofa kumi jijini lililopo katika mtaa wa kisutu na Mtendeni kisanga kingine....

Jumla ya Maraisi watano wa nchi za Kusini mwa Afrika, wanatarajia kukutana leo ili kujadili hali ya Zimbabwe chini ya Rais Jose Eduardo dos Santos wa Angola.

Ukaguzi uliofanywa na kamati ya kudhibiti ukimwi ya halmashauri ya manispaa ya kinondoni imetoa ripoti ya ukaguzi wake inayodaiwa kubaini kuwa bado kuna tatizo la wingi wa madanguro, grosari pamoja na gesti bubu ambazo hufanywa baa kinyume na taratib...

Wizara ya Fedha na Uchumi imesema inaendelea na maandalizi ya kuwasajili watu wote wanaofanya kazi katika sekta rasmi ili wawe na namba ya utambulisho ya mlipa kodi (TIN) zoezi ambalo linatarajia kukamilika hivi punde.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amedai kuwa serikali itaendelea kuendesha mjadala wa kitaifa utakaowashirikisha wadau mbalimbali dhudu ya suala la kuhamishia Makao Makuu kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma.

Chama cha NCCR-Mageuzi kimeitaka Seikali kufuta sheria inayomfanya Rais ya asishitakiwe kwa jambo lolote atakalolifanya akiwa madarakani na baada ya kutoka madarakani...

Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni Dk. Wilbroad Slaa, hivi karibuni aliwasilisha bungeni kile alichosema ni ushahidi kuthibitisha kuwa fedha zilichotwa kutoka akaunti ya madeni ya nje iliyokuwa Benki...  

<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>
  

Powered by AlphaContent Bongo5.com © 2005-2008 - All rights reserved
Total Members
total 17998 registered
female 4519 female
male 13396 male
month 77 new this month
New: blackbross
Who's Online Now
We have 55 guests online and 9 members online
BAYROS Geoff carine T_pain_Msomali Friiday TANAGWA MIPANGO hegga ferladha
2006-2007 © Copyright Bongo5.com