Burudani

Common na John Legend watajwa kuwania tuzo za Oscar

Common na John Legend wanaendelea kung’ara.

Baada ya kushinda tuzo za Golden Globe, rapper na muimbaji huyo wametajwa kuwania tuzo za Oscar zijulikanazo pia kama Academy Awards.

Wimbo wao ‘Glory’ uliotumika kwenye filamu ya Selma umetajwa kuwania kipengele cha Original Song. Majina hayo yalitangazwa Alhamis hii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents