Videos

Coming Soon: B’ball Kitaa Tournament 2013

Unauweza na unaupenda mchezo wa kikapu? Well hii inaweza kuwa ni habari njema kwako kwa kuwa utakuwa na fursa ya kuonesha uwezo wako mbele ya mastaa kibao wa Tanzania kwenye mashindano ya B-Ball Kitaa jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Kama kawaida Mamcee pia watakuwa na vilinge vyao kuonesha umahiri katika kuchana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents