Burudani

Collabo za wasanii wa Afrika Mashariki na Magharibi zinazidi kuongezeka, Sasa ni Chameleone (UG) na Patoranking (NG)

Uhusiano wa wasanii wa Afrika Mashariki na Magharibi unazidi kuimarika kwa wasanii wa nchi hizo kuzidi kushirikiana kufanya collabo, na sasa ni zamu ya Jose Chameleone wa Uganda na Patoranking wa Nigeria.

Jose & Pato

Chameleone anatarajia kuachia wimbo mpya ambao kamshirikisha muimbaji huyo wa Reggae-Dancehall, Patoranking ambaye mwaka jana alikuja Tanzania kutumbuiza kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014. Wimbo huo mpya unaotarajiwa kuachiwa hivi karibuni unaitwa ‘Only You’.

Chameleone ameshare mistari michache inayopatikana kwenye collabo hiyo:

“Girl you love is all I need,
Me and you were meant to be,
We shall live up to our destiny,
Only you girl bring out the best in me.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents