Burudani

Collabo kati ya Fid Q na rapper wa Ghana, Sarkodie yanukia

Rapper Fareed Kubanda aka Fid Q atamshirikisha rapper wa Ghana, Sarkodie kwenye ngoma yake mpya.

page

Diamond ndiye aliyemuunganisha Fid na rapper huyo anayeheshimika barani Afrika na miongoni mwa wasanii matajiri zaidi.

Akiongea kwenye kipindi cha Genge cha EFM leo, Diamond alidai alimuunganisha Fid na staa huyo baada ya kumsikia kuwa angependa kufanya naye na hivyo kumtumia ujumbe kumwambia kuwa ‘rapper namba moja’ Tanzania angependa kufanya naye wimbo.

Alidai kuwa alimtumia clip fupi ya Fid akitumbuiza na Sarkodie kushangaa jinsi Ngosha alivyokuwa akishangaliwa pamoja na uwezo wake. Tayari Sarkodie ameshatumiwa wimbo atakaoshirikishwa na Ngosha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents