Burudani

Ciara azidiwa nguvu na Future kwenye kesi ya nani akae na mtoto wao

Drama ya kisheria ya Ciara na Future inaendelea.

ciara-future

Jumatatu hii, jaji wa Los Angeles amempa ruhusa rapper Future ya kuishi na mwanae, Future aliyezaa na muimbaji huyo. Ciara ameshindwa kesi yake aliyoifungua kumzuia ex wake asikae na mtoto wao kwa madai kuwa ni mtu mbaya.

Na sasa wawili hao wataweza kumlea mtoto wao kwa kushirikiana.

Bado kesi zinaendelea hata hivyo. Mapema mwaka huu, Ciara alimfungulia kesi ya madai Future ya dola milioni 15. Future naye alimshtaki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents