Burudani

Christian Bella aipeleka ‘Nani Kama Mama Tour’ Ulaya

Christian Bella ameipeleka ziara ya ‘Nani Kama Mama’ Ulaya.

IMG-20141101-WA0000

Bella ambaye yupo nchini Sweden kwa sasa ameimbia Bongo5:

Unajua sasa hivi nipo na hii tour ya Nani Kama Mama tarehe 8 November nitafanya show Norway mjini Oslo na tarehe 14 Sweden pamoja na Ommy Dimpoz. November 29 nitakuwa Holland katika mji wa Amsterdam. Kwahiyo mashabiki wangu wasuburi kuona show nzuri ya ‘mzee wa masauti’ ya live band then narudi Bongo na kazi yangu mpya. Nikirudi natarajia kuitoa wao wenyewe mashabiki wataisikia.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents