Burudani

Chris Brown na Trey Songz kufanya tour ya pamoja

Baada ya Jay Z na Beyonce kufanya tour ya pamoja (On The Run), ikafuatia Rihanna na Eminem (Monster tour), sasa ni zamu ya wakali wa R&B Chris Brown na Trey Songz ambao wamethibitisha kufanya tour ya pamoja mwaka huu.

chris-brown-trey-songz

Breezy ambaye anatarajia kuachia album yake mpya ya ‘X’ mwezi Septemba, ametweet ujumbe unaothibitisha uwepo wa tour hiyo.

“THIS FALL is gonna be legendary! Get ready for me and @TreySongz Tour,”

Songz naye kupitia Instagram ameandika:

“Bruh, you’re just gonna tell the people we’re going on tour?” Aliandika Songz. “Did you think of a name? You got a name? It would be a good tour, though. I’ma think about it. Is they ready?” Songz alimuuliza Breezy.

“We can do old songs, new songs. Oh, we got that one song that we did together that no one’s heard. Should I have said that?”

Katika post nyingine Songz akaandika:

“There would be so many women, boy,” akaongeza. “And it would be dope musically.”

Tour hii itakuwa ni sehemu nzuri ya wote wawili kupromote album zao. Album ya sita ya Trey Songz ‘Trigga’ imetoka Julai mosi mwaka huu huku album ya Breezy ‘X’ inatarajiwa kutoka September 15.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents