Burudani

Chris Brown na Karrueche Tran wathibitisha kurudiana, Chris anataka ampatie mtoto?

Baada ya tetesi za hapa na pale juu ya kuachana kwa mwimbaji wa R&B Chris Brown na girlfriend wake Karrueche Tran na kurudiana, hatimaye Breezy amethibitisha si tu wamerudiana bali anampenda na anatakiwa aache mchezo.

Breezy na K

Wote wawli kupitia akaunti zao za Instagram wamethibitisha kurudiana kwao kwa kuweka post tofauti.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram hiki ndicho ameandika Breezy:

“@karrueche damn near 5 years and this woman still putting up with my shit. Need to have this baby and stop playing! Lol! My WCW”.

Kitu strange katika ujumbe wa Breezy ni, kumbe wanakaribia miaka 5 kwenye uhusiano na Karrueche?

February 8, 2009 ndio siku ambapo Chris Brown alimpiga Rihanna ambaye alikuwa girlfriend wake na kumsababishia majeraha usoni, na kwa hesababu za haraka haraka miaka mitano anayoizungumzia wanakaribia kuifikisha akiwa na Karrueche ni kuanzia 2009.

Chris Brown na Riri walianza kudate 2008, licha ya kufahamiana na kuanza urafiki toka 2005, Kwa mujibu wa Wikipedia. Japo toka aanze kujihusisha na Tran alikuwa akiwabadilisha mara kwa mara Karrueche na Riri.

Siku moja iliyopita Karrueche naye alipost picha (hapo chini) ya Breezy wakiwa kwenye dinner date:

Breezy na K2

Katika post nyingine ya Agosti 19, Karuche aliweka picha yao na kuandika:

“Lovers.. Friends.. We love, we laugh, we fight.. It’s complicated and I can’t explain it but it’s not for you to understand but us .. My MCM”

So hapo kwenye “It’s complicated”, pana ‘summarize’ drama zote zinazoendelea katika uhusiano wao, Asante Tran.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents