Burudani

Chris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!

Button ya uhusiano wa mwimbaji Chris Brown na mrembo wake Karrueche Tran imewekwa ‘Off’ kwa mara nyingine na sababu ni Rihanna.

chris

Siku chache zilizopita kuna shabiki mmoja alipost picha ya Chris Brown akiwa kitandani na Rihanna na kumtag Breezy ambaye naye ali ‘like’, kwa mujibu wa TMZ hiyo ni moja ya sababu ya Karrueche ku’switch off button’ yao kwa mara nyingine.

Ripoti zinasema kuwa sababu nyingine Karrueche amekuwa hana furaha kutokana na Chris kufanya mambo yake kama mtoto, na pia kutumia muda wake mwingi kula bata badala ya kutengeneza muziki.

Inadaiwa kuwa sio tu Tran amemuacha Chris isipokuwa ameamua kubadili namba ya simu ili asimpate. Kama ni kweli ngoja tuone itadumu kwa siku ngapi!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents