Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Habari

ChiwaMan (TNG Squad) na Rose Ndauka wategemea kupata mtoto ‘soon’

By  | 

Msanii wa kundi la TNG Squad, Malick Bandawe aka ChiwaMan amethibitisha kuwa yeye na mchumba wake, muigizaji wa filamu, Rose Ndauka wanategemea kupata mtoto hivi karibuni.

1390508_10153371803710118_1943619217_n
ChiwaMan na mpenzi wake Rose Ndauka

“Mimi nipo na relationship na tayari nimeshajiengage kwenye relationship na I am expecting a kid very soon,” ChiwaMan aliiambia Kali za Bomba ya Bomba FM jana.

1379517_10153371806810118_1230117155_n

Katika hatua nyingine msanii huyo alisema kundi la TNG kwa sasa linaundwa na watu wawili ambao ni yeye ChiwaMan na Latino Mafia. Baada ya kuachia wimbo wao Crazy Man, kwa sasa lina nyimbo mbili kibindoni ambazo ni Kwata na My Sweet Girl.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW