Burudani

Chidi Benz azungumzia kesi yake na video ya ‘Mpaka Kuchee’

Rapper Chidi Benz anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na madawa ya kulevya, amesema kesi hiyo imeathiri kufanyika kwa video ya wimbo wake ‘Mpaka Kuchee’ aliyowashirikisha Diamond na AY.

Chid Benz

Chidi alikuwa akiongea na Bongo5 jana kwenye uzinduzi wa video ya Wakazi ‘Wanawake wa Dar’.

“Video inakuja, bado sijaanza kufanya mazungumzo na AY wala Diamond ambao nipo nao kwenye hiyo project,” alisema. Video itafanyika hivi soon, haya matatizo ndo yameichewesha hii project.”

Kesi yake inatarajiwa kusikilizwa tena December 1. Diamond na AY waliahidi kugharamia video hiyo,

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents