Burudani

Chidi Benz apata dhamana baada ya kutimiza masharti

Rapper Rashid Makwiro aka Chidi Benz amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za kulevya.

10711083_1062715290409555_7336867001440902865_n

Jana Chidi alipandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashtaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana ya shilingi milioni 1 pamoja na wadhamini wawili wasiokuwa na hatia.

Kesi yake itasikilizwa tena Novemba 11 mwaka huu.

Source:EATV/Globalpublishers

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents