Burudani

Chege na Temba kumtimkia UK

Video_chege
Wanamuziki wawili kutoka kundi la Tmk Wanaume famili, Chege na Temba wanatarajia kwenda UK kwaajili ya kufanya matamasha  kipindi hiki cha msimu wa sikuu ya Idd. Wanamuziki hao wanatarajia kukamua kwenye  miji takribani mine, Ikiwa London,Barnigham,Milliton Kings, Laker City.

 

Video_feroozi_temba

Wanamuziki hao tayari wameshaanza kukamilisha baadhi ya vitu, na wanatarajia mnamo tarehe 25 mwezi huu, kuondoka  kwaajili ya shoo hizo

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents